Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Sophy yupi kuna sophy cha upoleSophy bhna
Sophy cha kudeka sophy cha utundu Sophy wa kusuta watu sophy wa mjep sophy wa Nation anthem
Sophy yupi kuna sophy cha upoleSophy bhna
NasubiriKaa mkao wa kula mzigo utapanda hapa wa kutosha leo
Hahaha aiseeJina zuri mpka Moderator watupige Ban
😡😡😡😡😡😡Hahaha aisee
Nakuita Mon chéri.
Mimi nipo wewe ndio umepotea kama sh 25 Bantu Ladykiduku mpapaso In da house, za masiku best umepoteaamo.
Jamani google maana yake jamani 🤣🤣😡😡😡😡😡😡
Weekend joto mpaka ukitembea unasikia harufu ya mishkakiSalama kabisa best za huko ulipo. Weekend inasemaje.
Niambie maana yake ni nnJamani google maana yake jamani 🤣🤣
My love or dearNiambie maana yake ni nn
😂 DahSophy yupi kuna sophy cha upole
Sophy cha kudeka sophy cha utundu Sophy wa kusuta watu sophy wa mjep sophy wa Nation anthem
Alaaa kumbe kuna majina mazuri hvyoMy love or dear
It's a french word ..
Au nikuite my main squeeze lol
Selfika basi jaman sophy😂 Dah
Mengi mno , bubba ,hot stuff etcAlaaa kumbe kuna majina mazuri hvyo
Huu mwandiko siyo wa TinsleyMengi mno , bubba ,hot stuff etc
Wewe umemsavuje manzi Ako .. usikute umeandika jina lake tu
Sinapicha mpya nimekuwa mvivu mno kupiga picha sikuhiziSelfika basi jaman sophy
Acha iwe siri yangu tu 😂😂😂😂😂Hahaha wa nani wahisi 🤣🤣😲
Njoo uniambie kule 🤣🤣Acha iwe siri yangu tu 😂😂😂😂😂
Umeshapata mimba hvyoSinapicha mpya nimekuwa mvivu mno kupiga picha sikuhizi