Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,209
- 96,044
Navaa 49Mama yangu alikuwa anavaa 42 , alikuwa mrefu .. wapo wanaovaa 42 wengi tuu .
Navaa 49Mama yangu alikuwa anavaa 42 , alikuwa mrefu .. wapo wanaovaa 42 wengi tuu .
Mama yangu alikuwa anavaa 42 , alikuwa mrefu .. wapo wanaovaa 42 wengi tuu .
Maharage bukuTatizo beiii, Afu vyote hivyo vya Nini??
😂😂😂😂😂😂😂mtoto anielewi kbsa huyo kupigwa Ban tu mwezi kashakimbilia kwa bwana mwingineKaka una tumia law ya force, itakuwa physics imelala hapoo😎
Labda Nitachukua huo mchicha wa 400Maharage buku
Unachemshia Kwa chupa ya chai , vidagaa mchele buku pia na mchicha 400 .
Total 2400
Hapana navaa 40,41 basiDah atakama ww saiz yako ni 31,27 isizid 36
Komaa nae, hakikisha anaeelewa definition ya forced😎😂😂😂😂😂😂😂mtoto anielewi kbsa huyo kupigwa Ban tu mwezi kashakimbilia kwa bwana mwingine
Ooh sawa sio mbayaLabda Nitachukua huo mchicha wa 400
Thank youongera
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂mtoto anielewi kbsa huyo kupigwa Ban tu mwezi kashakimbilia kwa bwana mwingine
Sinunui. Nitaenda kutafuta poriniiOoh sawa sio mbaya
Muhimu tumbo lipate kitu ..
Pori la wapi hukoSinunui. Nitaenda kutafuta porinii
Acha kumkatiliioo mwenzioo🤣🤣🤣
Wewe upo na manzi ako guest huko .. enjoy huko .
Ila yule mdada anakupenda sana wewe unamzingua . (Ua la kipekee)
Anazingua huyoAcha kumkatiliioo mwenzioo
Garden labda ya ndotoniiPori la wapi huko
Au panda hapo kwenye garden
Pengine alikuwa ana kuchoma Roho, ili umfikirieeAnazingua huyo
Alikuwa na demu wake huyoo .
Humu hatukupumua 🤣🤣
Kila saa yolly yolly .
Bustani basiGarden labda ya ndotonii
Nitajaribuu, Afu najua kupika ugali na wali kidogoo tuBustani basi
Panda vituta vitatu , cha mchicha , tembele na majani ya maboga .