Niko hapa nimekuona mtoto mashallah ndugu mjumbe AntonniaKi
Ndugu mjumbe kiduku mpapaso nimekuita mara mbili mbili
Usijali kabisa haujawahi kutuangusha kabisaUtamsimulia Kiduku
Iiiiiiiiiggggggggggwweeeeeeeeeeehhhhh 💃💃! Sinaga mbambambaa mie ausio!! Inapendeza sanaUsijali kabisa haujawahi kutuangusha kabisa
Moto lips denda; macho ndo kabisa yanamuita mda wote kapachino;Iiiiiiiiiggggggggggwweeeeeeeeeeehhhhh 💃💃! Sinaga mbambambaa mie ausio!! Inapendeza sana
Na risiti naenda kuichoma motoAsavali sina deni sasa naeza enda kurara !!
Wabheja sana Ndugu mjumbe!




Natoa shilingi sijaitwa kwenye jambo muhimu km hilisophy27 kiduku mpapaso Kapachino Naked kweri kweriiii!!
Mrare unono wapendwaaaa
Kesho nayo ni siku!!
Asante Kamera tu mkuu santo sana ✌️😍Moto lips denda; macho ndo kabisa yanamuita mda wote kapachino;
Nilikua sijakuona kabisa leo mkuu ningekuita kumbe upo?? Karebu sanaa selfikaNatoa shilingi sijaitwa kwenye jambo muhimu km hili
Eendiwoooooooo ichomwe tayari nimelipa deni ndugu mjumbeNa risiti naenda kuichoma moto![]()
Usiandamane mkuu kesho nayo ni sikuNamna hii nikiandamana nionekane raia mkorofi 😔😔
Why nakosa kila siku 😥😥😥😥 kuona Mungu alivyofinyanga kiumbe wake siku ya weekend jamani. IrudiweeeeeeeeAsante ni Kamera tu mamy!!