Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
hahahaha,...niko matembele ya pili nakujaChukua boda chap uje, usijifikirie mara 2
hahahaha,...niko matembele ya pili nakujaChukua boda chap uje, usijifikirie mara 2
Wewe tena ndugu mjumbe AntonniaPamoja sana Ndugu mjumbe usiniache kikaoni sasa!![]()
Abeee ndugu mjumbe ndio Muda ehhh??? Haya nakuja twenzetu 🚶🏼♀️🚶🏼
My Cousin kabigwa pin? Sijui kafanyaje tena naye...cuzoo akee leadermoe kumbe wewe ndie mkorifi ulikua unanisingizia unaona umepigwa pin😁🤔??
iishe haraka uje kutuburudisha siee
Eendiwoooooooo dear Tangu majuzi mbona!! Alivo na busara na asiependa matusi humu sijui alikumbwa nanini hata!!My Cousin kabigwa pin? Sijui kafanyaje tena naye...
Sema kwa sasa ban zinatembea kweli kweliMy Cousin kabigwa pin? Sijui kafanyaje tena naye...
Itakuwa mtu kavuka limit yake, akaona kwani shingapi? Karuka naye. Mstaarabu sana my Cousin leadermoeEendiwoooooooo dear Tangu majuzi mbona!! Alivo na busara na asiependa matusi sijui alikumbwa nanini hata!!
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa kwako Mrembo mkareeHivi Bantu Lady unataka mpaka jua lizame ndio tupate tulizo la moyo?
Weekend Tayukwa nisubirie 🙈🙈🙈😄😄😄😄Hivi Bantu Lady unataka mpaka jua lizame ndio tupate tulizo la moyo?
Yani saivi ukigeuka kidogo ban kidogo ban jamaa wamecharuka sio kidogo 🙌Sema kwa sasa ban zinatembea kweli kweli
Wacha kabisa ukiruka na mtu kidogo tu ban hioYani saivi ukigeuka kidogo ban kidogo ban jamaa wamecharuka sio kidogo![]()
Yaniii ..Pamechafuka sana jfWacha kabisa ukiruka na mtu kidogo tu ban hio