Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kipoo ndugu mjumbe fanya hima uje kuapply Kazi ya ulinzi banaa!!
Nakuja isee hata kama hamna mshahara nitalima vibarua, dooh!!, hapo kwenye chakula ya mtoto ndo ugonjwa wangu, mie😍,
Kwahio wee ni mtoto 😛🤗🤗?? Utaua watoto kwa njaa katibu lile tabasamu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Ile picha huwa haitoki kichwani walai fanya nawewe utubles banaa!!
 
Back
Top Bottom