Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Labda ufe uzaliwe upya mpaka wame weka privacy account kukimbia🙃🙃🙃🫠🫠🫠sina meno mkuu.. dada zangu wote wale na ni mashemeji zangu
Labda ufe uzaliwe upya mpaka wame weka privacy account kukimbia🙃🙃🙃🫠🫠🫠sina meno mkuu.. dada zangu wote wale na ni mashemeji zangu
Inasikitisha sanaHuruma sana, roho chafu kutoka kuzimu imeisha muingia, ili kuharibu hatma yake na kizazi chake.. hana nguvu dhidi ya hiyo roho, inamuendesha itakavyo. Mungu amrehemu, Mungu amkumbuke amtoe kifunguni ikiwa ni mapenzi yake.. maana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekana. Inasikitisha sana
Twende wapi una chimbo jipya 😂
Huyu ndo yupo kwenye uzi ule... Au
3D67H09 fanya chapu nisije nikaosha masufuriaTuma lipa naMba hapa
Hapana hapana naona upo bega kwa bega na National Anthem hapoTwende wapi una chimbo jipya 😂
😂😂😂Dah Kwamba mm ni dogo kias hikoHapa sophy27 tuna discuss mambo ya miaka ya 90 uko nyuma; kaa mbali kiasi.
Miaka hii aunt Yako Bantu Lady alikuwa embe bichi kabisa ambalo unalilia na chumvi
Uwezi kuosha ndio naandika namba hapa nifanye mambo3D67H09 fanya chapu nisije nikaosha masufuria
Anataka anipatie pis ya kinyarwanda ndio maana nipo hapa 😂Hapana hapana naona upo bega kwa bega na National Anthem hapo
GoodUwezi kuosha ndio naandika namba hapa nifanye mambo
Huruma sana, ufahamu wake umeishatiwa giza na umeshikwa hana nguvu tena, yupo under control ya roho chafu, hana uwezo wa kujiendesha kihisia tena.Inasikitisha sana
Bill bei ganGood
Na mm unipe connection za pisi za kinyarwanda waga zina shape na sura fulani hiviAnataka anipatie pis ya kinyarwanda ndio maana nipo hapa![]()

Huyo mpambanaji sana kwa kutafuta hao watu daah nampa salout..Anataka anipatie pis ya kinyarwanda ndio maana nipo hapa 😂
maana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekanaHuruma sana, roho chafu kutoka kuzimu imeisha muingia, ili kuharibu hatma yake na kizazi chake.. hana nguvu dhidi ya hiyo roho, inamuendesha itakavyo. Mungu amrehemu, Mungu amkumbuke amtoe kifunguni ikiwa ni mapenzi yake.. maana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekana. Inasikitisha sana


mbie mr mind National Anthem ndio mkali waoNa mm unipe connection za pisi za kinyarwanda waga zina shape na sura fulani hivi![]()
Ugali wa dona na samaki 2000 tu bossBill bei gan