Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,698
Mwaka huu hata tusipochukua Ubingwa lakini timu ime improve sana.Gari limewaka!
Jesus nae is back dah wajipange.
Ukifanya ulinganifu utaona, Mwaka Jana baada ya michezo 25 tulikuwa na alama ngapi na sasa baada ya michezo 25 tuna alama ngapi.
The future is so bright 🔆 ahead
