Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,819
Vp huko
Kweli Vijana mnafaidi, sisi enzi zetu ni Missionary position tu hadi tumezeeka hivi 🤪🏃🏃🏃
Hawa Everton tulikuwa na hasira nao hasa walipotufunga kwao lile goli moja bila na kufanya tupoteze alama 3 muhimu that day.
Hayo mazoezi ya yoga tu we mzee 😅😅Kweli Vijana mnafaidi, sisi enzi zetu ni Missionary position tu hadi tumezeeka hivi 🤪🏃🏃🏃
Hahaha...........kweli nimezeeka, yaani mawazo yangu yalifika mbali sana 🏃🏃Hayo mazoezi ya yoga tu we mzee 😅😅
Na karangi kako ka mtume sio mawardatAllhamdulillah[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2534528
Upo mrembo sana[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2534042
Mzee wa kupambania
mzabzab
Poor Brain
Mwachiluwi
Intelligent businessman
Kapachino
Babee u look nice [emoji8]Allhamdulillah[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2534528
unapenda kuwa shoga 🥲🥲.. Mungu akuponye nafsi yako , roho na mwili wako.Upo mrembo sana
Kaaaahhhhunapenda kuwa shoga 🥲🥲.. Mungu akuponye nafsi yako , roho na mwili wako.View attachment 2534687
Aunt vijaana wanasikitisha sana aisee.. 🥲
Utapeli hamna mzee hapoView attachment 2534697
Tukisema Umri umetutupa mkono tuna maanisha, Imagine my last born [emoji2957][emoji125][emoji125]
Hello Thursday [emoji1635]
😅😅Utapeli, hamna mzee hapo
Ngoja nikisubili[emoji28][emoji28]
Birth certificate yangu kiko Bandari ya Lamu hapo Kenya ndiyo kinaletwa kutoka Kwa Malikia, jiandae kuona Umri wa Babu yenu [emoji2957]
Very soon kitawasili 🤪Ngoja nikisubili
Maneno uumbaunapenda kuwa shoga 🥲🥲.. Mungu akuponye nafsi yako , roho na mwili wako.View attachment 2534687
Gari limewaka!Hawa Everton tulikuwa na hasira nao hasa walipotufunga kwao lile goli moja bila na kufanya tupoteze alama 3 muhimu that day.
So ni kama tulikuwa tunalipa kisasi hiyo jana
Hawa wavulana wanasikitisha sana..Maneno uumba