Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baby natetema aaah nahisi baridi
Nataka kukuona kuja unifariji

Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me
Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me


Ka mood tu mzee.. hapa nimeisha lala alone alafu kuna ka upweke flani hivi ukizingatia mechi za nje is no more🥲🥲
Hahaha umeamua kukaa njia kuu mkuu!

Aisee; hongera sana
 
Baby where you are Baby where you are
Baby natetema aaah nahisi baridi
Nataka kukuona kuja unifariji 🥲
Screenshot_20230226_213532_Poweramp.jpg
 
Anything that you are baby you should let me know

You know that ukinitenda utaniumiza roho

Maana si unajua we ndo kipenda roho

Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu

Iwe shibe njaa basi nile nawe kama kuna huzuni karaha

We ndo faraja yangu siku za furaha naenjoy nawe

BRIDGE

Why why why nikulize Why why why nikulize

Why why why nikulize Why why why nikulize

CHORUS

Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe

Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe

VERSE 2

Umenifanya niwaze ningewezaje dunia bila uwepo wako aah

Umenifanya nijiulize je ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako

You're the one i have bbeen waiting for asali yaa moyo wangu

Faraja yangu iliyomo ndani yangu kwenye ini yako
 
God found me a woman, my woman my priority
She fall in love with who I am
She means the whole world to me (yeah yeah yeah)
You love me better better than I love myself (ah)
 
Back
Top Bottom