Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Una maneno ya mkosaji.ninapata ukakasiAtakama sio vile ase
Una maneno ya mkosaji.ninapata ukakasiAtakama sio vile ase
Leo umeona umtoe out mtoto wawatu😅😅😅View attachment 2530694
Ukiwa Mzee unapelekwa popote Wajukuu wanapoamua. Imagine, Leo Babu yenu nimeletwa huku 🤪
Hello Sunday 🥂
Kwa nini?
sophy27 nimepakumbuka Sana kijijini kwetu; mda wote unakuwa umeshiba Tena bila kipimo
Nasikia saivi mvua Ni nyingi sana uko, mmelima mpunga wa kutosha na mavuno yamekaribia;
Lazima nirudi nyumbani k mchele kilo 3500 imenichosha huku mjini
View attachment 2530953
Leo sili mahindi
Iyo picha inanikumbusha back uko miaka ya 2000 Apo tumetoka kuchunga ng'ombe tunakutana na wali ndondo plus chaiNyie huko mna neema upande wetu huu wik ya Tatu mazao hayana afya kabisa sema ilo ndondo noma aisee
Unawza kuchunga ng'ombe😀Iyo picha inanikumbusha back uko miaka ya 2000 Apo tumetoka kuchunga ng'ombe tunakutana na wali ndondo plus chai
Wew huoni hapo hatari corona wizi unafikili wote hapo wamekuja kukimbia mfano simu uliyo pigia picha ingechukuliwa na usimjue alie chukua ungesemaje? UngekimbiaUna maneno ya mkosaji.ninapata ukakasi
Kabisa na misi hizo moments!Unawza kuchunga ng'ombe😀
😀😀😀JamaniKabisa na misi hizo moments!
Uku mjini nawaza kubambia tu
au nipe mkataba wa boda Basi nami nihame huku Kama National Anthem😀😀😀Jamani
Raha ya boda kubeba mishangaziau nipe mkataba wa boda Basi nami nihame huku Kama National Anthem
Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me
Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me
Ola ola eeeh Ola eeh ola eeh baby where you are
Ola ola eeeh Ola eeh ola eeh baby where you are
Baby where you are Baby where you are
Baby natetema aaah nahisi baridi
Nataka kukuona kuja unifariji
Nimechoka kukesha kama popo popo
Kama popo popo kama popo popo
Mi sio popo popo
☺️☺️☺️
Naonaga tu mnavyokumbatiwa chief; kifua chote mgongoni.Raha ya boda kubeba mishangazi
Baby natetema aaah nahisi baridiMzee salama kweli
😅😅 alafu kupewa mzigo sie boda ni dk sifuri tuNaonaga tu mnavyokumbatiwa chief; kifua chote mgongoni.