Sichepuki 😆
I am single again🫣Shost yangu Bantu Lady fanya ule mpango wa kuniungisha na kaka ako twafazali nimechoka na mahangaiko ya Jack Palladino
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Nikikumbuka kupiga 😅😅😅😅😅😅Ningekua mtaani kwako ningekua nakuona Mimi tu Kama vile yule mwamba alivokua na bahati yakumuona Big.
Saa tano sita iyo hiyo hakikisha tuna ona hata guu tu best.
Walichoomaanisha Mtu ambae unaempenda akifanya kitu tofauti na matarajio yaupendowenu maumivu yyanakuwa makubwa tofauti na Mtu usiempenda na maumivu ytaendana n kiwango Cha upendo ulichokuwa nacho kwake ndo maana unaweza kusikia Mtu aabreak up na mpenzwake na maisha yakaenda tu kunamwingine ataumia hta mwaka atakonda sana atalia sana ndo ivoKwanini akuumize zaidi?
Wala usihofu toto zuri!! ntakukumbusha tuNikikumbuka kupiga 😅😅😅😅😅😅
Huyo unayempenda sana si malaika naye ni mwanadamu na haiba yake ni dhaifu, ukitarajia anaweza trip somewhere au akaenda kinyume na matarajio yako,, ukijua hili hautaumiaWalichoomaanisha Mtu ambae unaempenda akifanya kitu tofauti na matarajio yaupendowenu maumivu yyanakuwa makubwa tofauti na Mtu usiempenda na maumivu ytaendana n kiwango Cha upendo ulichokuwa nacho kwake ndo maana unaweza kusikia Mtu aabreak up na mpenzwake na maisha yakaenda tu kunamwingine ataumia hta mwaka atakonda sana atalia sana ndo ivo
Jamani jamani sasa unanisaidiajeValentina umechelewa shostito, my Cousin kishapata mtumaana uko sitaki nataka. Nimemweka sehemu salama, chezeya Cousin ake

Umeyataka mwanaume hutulii weweI am single again🫣

Njoo ushee wangu, maana ni mrefu. Mwanaume mrefu unajua vile inakuwa eeeh. Baadaye shostito 😘
wewe ndio babe wangu wa ukweli ujue🥺
Ah kama mrefu baki naeNjoo ushee wangu, maana ni mrefu. Mwanaume mrefu unajua vile inakuwa eeeh. Baadaye shostito![]()

Na Lenie ni nani akowewe ndio babe wangu wa ukweli ujue![]()

Iringa ndio.Kuna nini mbn umeshangaa?zamu ya Iringa sasa
Ni kweli wengi tunataka watu waliokamilika na ndo tunapokwamaHuyo unayempenda sana si malaika naye ni mwanadamu na haiba yake ni dhaifu, ukitarajia anaweza trip somewhere au akaenda kinyume na matarajio yako,, ukijua hili hautaumia
SijashangaaIringa ndio.Kuna nini mbn umeshangaa?
Fill each other flaws muendelee kula bataNi kweli wengi tunataka watu waliokamilika na ndo tunapokwama