Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,141
Bantu Lady ule mpango wetu vipi.. ???😂
Hiyo ni ankal wangu.
Hujalewa tu bado
Apo sawaHiyo ni ankal wangu.
Ana babe mmoja tu, ambaye ndio wewe

Kuwa na amani ya moyo, me nakusaidia kukulindia.
Bado sana nishabadili kijiweHujalewa tu bado
Uko kijiwe gani saiviBado sana nishabadili kijiwe
Naenda samakisamaki ya karibu na home hapa leo karitoUko kijiwe gani saivi
Wapi hapo pamebamba
Kula bata kijana hadi kuku waone wivuNaenda samakisamaki ya karibu na home hapa leo karito
Hayupo napaona pazito sana
Kabisa ase tunatafuta ili tule na sio kuziweka ndani 😂Kula bata kijana hadi kuku waone wivu
Ndio ndioKabisa ase tunatafuta ili tule na sio kuziweka ndani 😂
😘✌️
Saaafiiiii
Fanya umuite National Anthem 😂😂😂
Usimuamshe aliye lala 😃🍻Fanya umuite National Anthem 😂😂😂