Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Anakusikiliza wewe tu kakaYeye anasemaje?
Anakusikiliza wewe tu kakaYeye anasemaje?
Weee😂Anazingua ase au toroka kesho mimi mitakutetea usijali
Ngojea soon anatoa ruhusa na mjua akilewa ana ujanjaWeee😂
Haha na hasa huo mwili ukiwa na nyamanyama!😄😄😄😄😄😄😄😄 kwanza sura hailiwi, kwenye kuzagamuana ni mwili tu best 😂😂😂😂😂😂 wakutafutieee ulete feedback 😉
Kwatooo ya kibabe.
Weekend tayari naanzaje kulala basi, leo nina mtoko ma marafiki acha kabisa. Nimemaliza mazoezi naandaa kanguo 💃Haha na hasa huo mwili ukiwa na nyamanyama!
Kawia kulala ma self Kama yote na Hilo li toto mida mida.
Wewe tena unatokaWeekend tayari naanzaje kulala basi, leo nina mtoko ma marafiki acha kabisa. Nimemaliza mazoezi naandaa kanguo 💃
Nipo hadi mida ya wanga best, tupia kama zote 😅😅😅😅
Siendiii nimeshalalaYeye anasemaje?
Kupambana kote uku nalopoka sana af wewe unakuja kukataa dahSiendiii nimeshalala
'Kanguo' na huo mshepu Sasa itakuwaje! Natamani kapachino angekuwepo eneo la tukio.Weekend tayari naanzaje kulala basi, leo nina mtoko ma marafiki acha kabisa. Nimemaliza mazoezi naandaa kanguo 💃
Nipo hadi mida ya wanga best, tupia kama zote 😅😅😅😅
Mwachii mimi tena, labda shemeji yako akatae tu. Ila mitoko kama yote...Wewe tena unatoka
Kashakataa, Me ni nani nipinge.Kupambana kote uku nalopoka sana af wewe unakuja kukataa dah
Dah shemeji anakuachiaje uwende peke yako na ulivyo mrembo ivyoMwachii mimi tena, labda shemeji yako akatae tu. Ila mitoko kama yote...
Sawa nitafanyaje tena na yeye kagoma ngoja nikomaeKashakataa, Me ni nani nipinge.
We enjoy, kesho tutatoka mapema best angu na ruhusa nitaomba mapema
Zimefika jirani...Nitumie Salam jirani..
Mwachi miye Mafia wee acha tu... bora sivuti msuba tu, ningekuwa ☻😂😂😂😂😂 nishalitafuta nimenuna.Dah shemeji anakuachiaje uwende peke yako na ulivyo mrembo ivyo
Mtoto wa kike kujiamini;
Mwachi miye Mafia wee acha tu... bora sivuti msuba tu, ningekuwa ☻nishalitafuta nimenuna.

