National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
😅😅😅 hata kugusa mkono wa mdada mzuri haitoshi.. acha nitulie tu maghetoniKwakweli ongeza 30000 hapo
😅😅😅 hata kugusa mkono wa mdada mzuri haitoshi.. acha nitulie tu maghetoniKwakweli ongeza 30000 hapo
Huko mnakutana matajiri mzee.. nipo nasikiliza kwaya hapa tu

Na wadada wa huku wanadharau bala😅😅😅 hata kugusa mkono wa mdada mzuri haitoshi.. acha nitulie tu maghetoni
Nimevamia miji ya Watu; huku nyanda za juu kwa 'jongwe'😅😅😅 chaka raha sana, weekend wapi mzee.. nimelala zangu tu
Ukiwa na boda boda hakuna kinacho haribika mzee 😅😅 maala popote ukiingia unda urafiki na boda boda utapata taarifa muhimu zoteNimevamia miji ya Watu; huku nyanda za juu kwa 'jongwe'
Sijui hata nielekee wapi; nimekaa kituo cha dreva boda boda hapa panaitwa mafiati' ndo nataka wanipe code Watu hawa
Karibu sana my Cousin... ukiwa na kapicha unaweza rusha hapa. Hata kama huna haina mbaya kabisa cousin...Bantu Lady nimeitikia wito Antonnia
Unfair duh.Ndo kanuni unaempenda zaidi ndo ataekuumiza zaidi mapenz ndo yako hivo mtuusiempenda hawez kukuumiza
Bro Jack Palladino naomba ruhusa ya shem lenie kuja wavuvi asafishe kichwa kidogo 😂Niombee ruhusa basi best angu, nina kiu balaa hapa
Huku naona kila mtu ana wake banaKaribu sana my Cousin... ukiwa na kapicha unaweza rusha hapa. Hata kama huna haina mbaya kabisa cousin...




najua uliunguza GB za kutosha baada ya kuwasha VPNInapendeza mgandane ivyo ivyo mpaka uzeeni
Hakuna Cousin, mbona mimi sina Antonnia hana Ankol National Anthem hana hata kiduku mpapaso na Kapachino naye hana. Kawaida kabisa utapazoea tu taratibu 😅😅😅😅Huku naona kila mtu ana wake bana![]()
1080 au 4K hazinaga masihara 😅😅😅najua uliunguza GB za kutosha baada ya kuwasha VPN
Hivi VPN inanyonya data sana eh?najua uliunguza GB za kutosha baada ya kuwasha VPN
Goja nije kukulisha