Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Haikuui lakini inakutesa😃Kwani radhi anau 🥸🥸🥸
Mbona hili jukwaa limepoa siku hizi jamani?
Haikuui lakini inakutesa😃Kwani radhi anau 🥸🥸🥸
😅😅 maswa nitanenepaje ndio hadi kuna siku nasahahu kama nimekula au lah.. hadi nikumbushwe.. goja nije kula huko mnavu na kitimotoKipindi cha ndoa lazima unenepe kaka sio Kwa mrembo yule💞❤️🔥💞❤️🔥
Fanya urudi basi ukikonda zaidi ya hapo nitakusahau ujue.😌😌
Kuna ka upepo hivi kamepita.. badae watakuja tuHaikuui lakini inakutesa😃
Mbona hili jukwaa limepoa siku hizi jamani?
Unajua jinsi ulivyoukifungua kanisa utapata waumini wengi sana…hususani wadada😆😆😆😆Kuna kipindi tunahitaji huruma asee😅😅
😅😅😅😅 mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya BuyenzeUnajua jinsi ulivyoukifungua kanisa utapata waumini wengi sana…hususani wadada😆😆😆😆
Kwamba Uko buzy/mazingira hujayapenda au huna jibu.😃😅😅 maswa nitanenepaje ndio hadi kuna siku nasahahu kama nimekula au lah.. hadi nikumbushwe.. goja nije kula huko mnavu na kitimoto
Hee kama kuna kaupepo kalipita basi tuishie hapa😃Kuna ka upepo hivi kamepita.. badae watakuja tu
Umetaja wadada wote wazuri zuri kasoro chakorii..so kwenye list nitoe hukawii kula kondoo wewe😁😁😅😅😅😅 mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya Buyenze
Kweli, sili chakula kinachopikwa na mtu yoyote, ndio maana nahisi mwanzo wa ndoa nilinenepa mda wote nilikuwa home, vyakula navyokuwa kwa amani kilichopikwa na mama yangu, mke, na watu wachache sana.. na hata kwenye migahawa mwanza nzima huwa nakula sehemu tatu tu.. hadi nakula chakula alichopika mtu nimme kilizisha kwa mengi sana 😅😅😅😅 huku nashindia maji zaidi..Kwamba Uko buzy/mazingira hujayapenda au huna jibu.😃
Inaonekana unachangua sana kaka.
Kitimoto na mnavu vimeshaisha
🥸🥸🥸 mie sio wa kula kondooo.. nakula mbuzi tuUmetaja wadada wote wazuri zuri kasoro chakorii..so kwenye list nitoe hukawii kula kondoo wewe😁😁
Unazingua ww😏ndiyo af jana sijakuona aki ulipotelewa wapi
😂😂😂😅😅😅😅 mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya Buyenze
Nilijua unanitania siku ile😃😃kumbe kweli aisee…pole sana kwa mtindo huu kaka lazima ubaki kichwa😌😌😌Kweli, sili chakula kinachopikwa na mtu yoyote, ndio maana nahisi mwanzo wa ndoa nilinenepa mda wote nilikuwa home, vyakula navyokuwa kwa amani kilichopikwa na mama yangu, mke, na watu wachache sana.. na hata kwenye migahawa mwanza nzima huwa nakula sehemu tatu tu.. hadi nakula chakula alichopika mtu nimme kilizisha kwa mengi sana 😅😅😅😅 huku nashindia maji zaidi..
au sio aunt ya ukweli sophy27
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆kichwa chako muone🥸🥸🥸 mie sio wa kula kondooo.. nakula mbuzi tu
Hukawii kukusanya sadaka ukaenda kununua simu😃Mm nitakuwa mtunza kapu la Sadaka😂
Nipo hivyo toka mdogo kwenye selection ya mkono wa mtu ambae nitakula chakula chake. Sili chakula kilichopikwa na yoyote.Nilijua unanitania siku ile😃😃kumbe kweli aisee…pole sana kwa mtindo huu kaka lazima ubaki kichwa😌😌😌
basi kama ni hivyo tafuta apartment yenye kila kitu ndani then tafuta mtu awe anakupikia hapo ulipo