National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅😅😂😂😂Nikilaliabkitanda Cha gold nitaamka kweli aunt 😂😂😂
😅😅😅😅😂😂😂Nikilaliabkitanda Cha gold nitaamka kweli aunt 😂😂😂
Babu yangu!! 🤣🤣🤣
😅😅😅 ewe mwanadamu ukifika mda mtaambiwa mchungaji ni naniBabu yangu!! 🤣🤣🤣
Hebu kuwa na adabu kwa mume wangu wewe binadamu!
Ila hicho kitengo umetupatia kabisaaa, sie ni watunza fedha waaminifu kabisa.
Hebu subiri kwanza mchungaji atakuwa nani?
Naanza kesho 🙂🤨🤨🤨🤨🤨 anza wewe kufunga mchana
Ukichoka sana utaniambia nikusaidieNaanza kesho 🙂
Nkamu heshima kwako💚 💚💙💙💙
Mambo Yako hayo😀
Bado naswampa na cheti changu cha TEKU.. siku nikila shavu hamto niona humu 😅😅😅Mambo Yako hayo😀
😂😂Mbona mm napika ugali tu hapa home hakuna shida 😀Bado naswampa na cheti changu cha TEKU.. siku nikila shavu hamto niona humu 😅😅😅
Nikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume 😅😅😅😂😂Mbona mm napika ugali tu hapa home hakuna shida 😀
Niko mbali aunt yangu mbona ningekukaribishaNikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume 😅😅😅
Umechoka kubeba vyeti ama 😀Nikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume 😅😅😅
Upo jannatul firdaus nini 😅😅😅Niko mbali aunt yangu mbona ningekukaribisha