National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Mnatutoa mateHiki Mwachiluwi nimeshiba na Pepsi bariiidiii 😋View attachment 2526183
Pole mdogo wangu, hata ukila kingine bora umekula haijalishi. Mimi napenda mapaja ya kuku acha. Sipendi kidali kabisa.Mnatutoa mate
Weeeh .... Hope and encouragementPole mdogo wangu, hata ukila kingine bora umekula haijalishi. Mimi napenda mapaja ya kuku acha. Sipendi kidali kabisa.
Vizurije sasa, so Ankol leo umegoma kula kabisa? 😄😄😄😄😄
Mlo mmoja kwa siku a.k.a pasi ndefu .. unakula mpakani mwa leo na kesho..😅😅😅Vizurije sasa, so Ankol leo umegoma kula kabisa? 😄😄😄😄😄
Kabisa tuleni tu, kunenepa hata sijali. Mbingu tutapewa miili mipya 💃💃💃💃Dah hapo lazima ushibe usiposhiba basi wewe mlafi
Nile wapi mzee natamani tu hapaNikajua vyote ivi unakula wewe
Ankol nimeona Urojo, kuna mmoja mitaa ya ndanindani kama unataka kutokea Fire na huwa nikienda Zanzibar bwana urojo wanaujuliaNile wapi mzee natamani tu hapa
Fire ndani ndank na kule Qubratain nilikuwa daily jioni naenda kuula aisee.. alafu mambo mengine ndio yanaendeleaAnkol nimeona Urojo, kuna mmoja mitaa ya ndanindani kama unataka kutokea Fire na huwa nikienda Zanzibar bwana urojo wanaujulia
Kabisa tuleni tu, kunenepa hata sijali. Mbingu tutapewa miili mipya![]()

shemeji ata tafuta wenyewe hawana kitambi
Yes umeshapajua, miye kusoma mitaa niishike shida. Ila najua tu nikitaka fika pale napita wapi nafika 😄😄😄😄😄 najua hapo nakatiza kabla sijakutana na njia ya kuingia Muhimbili Hospital.Fire ndani ndank na kule Qubratain nilikuwa daily jioni naenda kuula aisee.. alafu mambo mengine ndio yanaendelea
Nile wapi mzee natamani tu hapa



izo shida sasa unakula kwa picha si bora ukope uifurahiahe nafsiNilikuwa naishi mitaa ya huko, chaka zote za town nilikuwa nazimanya.. na nilipata shida sana nilipo hama kule.. ujue kule kila kitu unapata yani na sehemu ingine nilikuwa napenda kwenda kula pale opp na mahakama ya mwanzo.. pako karibu na jengo kubwa la uvcc kipindi hicho.. wahindi na waarabu ndio ilikuwa eneo lao.. sie tulikuwa tunawapeleka watoto wa CBE ukimpleka lazima akukubali yaani anakupa na nyota ila hatukuwa tuna tusi nao.. maana maradhi mengi wakati ule 😅😅😅Yes umeshapajua, miye kusoma mitaa niishike shida. Ila najua tu nikitaka fika pale napita wapi nafika 😄😄😄😄😄 najua hapo nakatiza kabla sijakutana na njia ya kuingia Muhimbili Hospital.
Sikopesheki mzee😒😒😒 nitakula saa 12 jioni mpakani mwa leo na kesho nina kama buku jee hapaizo shida sasa unakula kwa picha si bora ukope uifurahiahe nafsi
Good thing anachotaka yeye niwe Healthy. So nakula halafu lazima ni burn calories basi. Mimi hata nijikondeshaje kuna maeneo ya mwili hayapungui ndiyo huwa yanaongezeka. Bora ninenepe yajifichie minyama huko.
shemeji ata tafuta wenyewe hawana kitambi![]()