National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
😅🙂 ebu tuone maeneo yasiyopunguaGood thing anachotaka yeye niwe Healthy. So nakula halafu lazima ni burn calories basi. Mimi hata nijikondeshaje kuna maeneo ya mwili hayapungui ndiyo huwa yanaongezeka. Bora ninenepe yajifichie minyama huko.



