Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Vitunguu, karoti, hoho, tangawizi, swaumu, nyanya, giligilani na nazi ukipenda[emoji39]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Mama k hayupo ?Nataka nikaange kuku nitie viungo gani? [emoji1]
Tia majani ya chai au tea masala🤣🤣Nataka nikaange kuku nitie viungo gani? [emoji1]
Kabla ya PhD yangu eeh.. hii hujuma 😌😌😌Watakupoteza chap kwa haraka
Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo Poor Brain mpatie chombo, maana kawa mpweke sana, hana pa kumwaga upweke wake..Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. 😁😁😁😁
Tia majani ya chai au tea masala[emoji1787][emoji1787]
Nataka mchumba mwenye UTU na UTULIVU... Asiwe na mambo mengi.Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. 😁😁😁😁
Eeeeh subiri kwanza uwe PhdKabla ya PhD yangu eeh.. hii hujuma 😌😌😌
Unataka niuziwe mbuzi kwa gunia sio...🤓🤓🤓🤓🤓Huyo Poor Brain mpatie chombo, maana kawa mpweke sana, hana pa kumwaga upweke wake..
Nawewe nakutafutia next week 😄😄😄😄Acha kumpa matumain kijana wa watu aka wapa watu vibuti uko uku anakutegemea wwe [emoji23]
Aunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yakeEeeeh subiri kwanza uwe Phd
Uta ping kwanza 😅😅Unataka niuziwe mbuzi kwa gunia sio...🤓🤓🤓🤓🤓
Ongea wewe... Maana sio ananipa matumaini hapa kumbe....Acha kumpa matumain kijana wa watu aka wapa watu vibuti uko uku anakutegemea wwe [emoji23]
Nzuriii hiyooooo😂😂😂Uta ping kwanza 😅😅
Na wewe utakatishwa tuuAunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yake
Mama k hayupo ?
Muache yeye achague viungo kwa hali yake anaweza kuwa anachagua vitu
Huyu tutawezana kweli [emoji848]Nakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.
Nakuona uko mbioni kuanza na Dr National Anthem nitabaki mimi tu nayeona uvivu kumalizia PHD.Aunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yake
Unajua mwenyewe ulikohamia[emoji17]Babe nimeibiwa na nani?[emoji15]