CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Yup aisee .. Life is good , why ninywe vitu vichungu . Vitu kama hot chocolate ndo mambo yangu hayo .
HAPPY BIRTHDAY TO YOU Joan S
3 is a No,, yaani vikizidi sana ni 2,,Yup aisee .. Life is good , why ninywe vitu vichungu . Vitu kama hot chocolate ndo mambo yangu hayo .
Ni zoezi gumu mwanzoni lakini ukishazoea halina shida.sisy angu aliniuliza unawezaje
Thanks mjukuu, msalimie sana mkwe wangu Mjeda 🤗Eendiwoooooooo anything for afyaaaa babuuu!!
Ni kweli kwa umri wako ni vema kuzingatia afya bila kusahau mazoezi babuuu!
Pongezi zimefikaaaa kasema usubirie tu like koti lako toka Italy 🤗!
Mkuu unataka kunipa laana kwa Wajukuu zangu, Mimi siwezi kufanya kama Nabii Ruthu alivyofanya kwa Mabinti zake 😎
I have a sweet tooth jamani .. how are you lakini
I have a sweet tooth jamani .. how are you lakini
Unajua kwa utani wako huu, umefanya Mjeda last week aje PM kunichimba Mkwara.Mi nipo sana sema wewe si ulitukimbia hapa? 😂 Sijui ndio masharti ya Grahams kuwa usizoeane na sisi.
Nkamu huyoo
Umeirudia tena michuchumio?

yaani sikomi na kila siku naongeza urefuI am alright dear,, having a good time?I have a sweet tooth jamani .. how are you lakini