Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230209_105428.jpg
 
Sitaki kuamini yameisha. Sasa yameishaje yaani? Khaaaaaah.Mnayamalizaje juu juu namna hii?

Mtanange wa hovyo sana huu kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa jamiiforums.

Yaani kirahisi rahisi ndio yanakuwa yameisha? Yanaisha hata hamjachambana? Hata siri hazijavujishwa? Hata mmoja hajalia? Hata mmoja hajatelekeza ID yake kwa muda?

Kwahiyo mmechambana kisomi sijui ki classic sio? Poa tu kwa mlivyonifanyia ipo siku wataibuka buza girls wenzangu hapa watachambana siku tatu mfululizo roho yangu isafishike.
Sijawahi kuona Mnyaki "mkorofi" kama wewe. Yaani mtu akiingia kwenye anga zako atakula vitasa mpaka aombe poo. Nakuaminia! 😁😁😁
Wee (62).jpg
 
Back
Top Bottom