Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Walinila last weekWamekula kichwa![]()
Na mm nimeiba avatar yao
Walinila last weekWamekula kichwa![]()
nilidhani umelimwa bani ila naona una koment.injoi
Am enjoyingnilidhani umelimwa bani ila naona una koment.injoi
toa hioban unanikata maini.Am enjoying
Forever ever
Pole 😂😂toa hioban unanikata maini.
Hivi sio kosa kweli? Wasije nirudishia ban ingineHahahah
Nije pm unishauri 😎Na unakonda kweli au
Em tuone nikushauri
Adi napiga chafya hapaKwamba nanukia ban?
Mh chitaki 😄😂😂😂 bado nina hasiraIondoe tu rafiki mwema
🤣🤣🤣 Ukorofi tuWalinila last week
Na mm nimeiba avatar yao
Uje ukiwa umenenepaNije pm unishauri 😎
Nyau 🤣🤣Adi napiga chafya hapa
Ila mbona hata hutukanagi jamaniKwa lile kosa
Sio la kupewa ban ya siku 7
Af kumbe sina koneksheni 😂😂
yan napitia konekshen ndo napunguziwa zibaki 3
Sema nashukuru we uliyenikonekti
Maana hizo 4 nyingine dah 🥹
Nimeambiwa niache kutukana sijui kusema watu
Sawa
Sahiv dustin bin itajaa 😂
Ukisema 1+1 ni 11
Nikikwambia ni 2 ukikataa
Nakuweka bin 🙂🙂
Chitaki stress na watu wenyewe hamjulikani Lenie
Natamani nikusababishie ban 😂😂
Ila nimeokoka
Hallelujah
Mapendo ya kinafki na kiukweli yaendelee
Em sema nisikie?Ila mbona hata hutukanagi jamani
Ningesema neno ila wacha tu nifunge mdomo.
Hahahaa ban mimi itaanzia wapi
Umenogewa eeh🥰