Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumekuchaaaaa amkenii amkenii wapi mamaa Antonnia kipenzi cha babu kijana Grahams
Wapi mamaa Ms cee roho yangu mie
Natuma salamu za asubuhi kwako Tinsley nyonga mkalia ini wangu.
Uhali gani Wigelekelo hapo tunduma mpe salamu Saint Anne mwambie kesho niko mbeya.
Wapi boss kubwa Mjep anayemuweka mjini mngoni mwenye matashtiti yake mjini cocastic
Kamaa nakuona mzee wa chaputa Carrasco putin unavomkumbatia mpenzi wako jamaa
Popote ulipo National Anthem kijana anayeishi mjini kwa kufuga na kuuza kasuku
Salamu za asubuhi pia zikufikie kwako doctor wa mifupa hapo moi myoyambendi
Wapi mamaa Lenie kazi mlima mshahara korongo chezea wahindi
Una raha gani unalala mpaka muda huu na uko kwenye nyumba ya kupanga amkaa ukapambane! Sio kwako hpo
Aririiiiiiiiiiii piga kelele kwa boss akeeeee, weuweeeeeeeeeeeeeee
 
Rule#9
Screenshot_20230123_150903_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom