cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,508
- 188,367
Babeeeeh wee ulipoteleaa wapiii? Au mke mwenzaa alikutekaaa??Bebeee mambo
Babeeeeh wee ulipoteleaa wapiii? Au mke mwenzaa alikutekaaa??Bebeee mambo
Salama kabisa vp weweHi Alex
Uhali gani
Mke mwenza nimtoe wapi wakati uko mwenyewe [emoji847]Babeeeeh wee ulipoteleaa wapiii? Au mke mwenzaa alikutekaaa??
Em sema kweli babeee. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mke mwenza nimtoe wapi wakati uko mwenyewe [emoji847]
Hahaa umeanza mambo yako[emoji23][emoji23][emoji23] saa kumi naenda na mgonjwa hospitali skachome sindano nikiludi nakustua nikiwai sawa dear
Me niko bombaSalama kabisa vp wewe
Shikamoo wa kwetuMe niko bomba
Weekend iko poa
AiseeUsiku mwema mwanawane, momo yupo njiani 😋😋😋 nitaubebaaaa nitaubeee nitafika tuView attachment 2496718
Yaani wewe, usiniongelesheShikamoo wa kwetu
Me nakula story hapa, karibu pia jiraniMchana wa kula..karibuni.
Asante sana jiraniMe nakula story hapa, karibu pia jirani
Asalaam Aleykum mkuu!Asante Helleinah
Penzi kikohozi
Pole mwaya , january hii ngumu balaa . Na bora mwezi uishe tu . Baby ako wapi Akutoe lunch ?Mie niko poaa, yaan hapa library leo njaa inaumaa, na niko apeche alolo. Mwee huu mwaka uishee khaaah
Waaleykum SalaamAsalaam Aleykum mkuu!
Leo weekend, waungwanaa mkatombaneeeeeeee na kuinamishanaaa kwa welediii, hatutaki makasiriko na visa siku za kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babee angu hana helaa, tunapendanaa ki true love, wotee tuko apechee aloloo.Pole mwaya , january hii ngumu balaa . Na bora mwezi uishe tu . Baby ako wapi Akutoe lunch ?