Ndio inafananaHee kwamba tunafanana 😜?
Kabisa aise cocasticBas sawaa, we mtu em leo unipe vochaa, khaaah.
Asante dear, nishazoea . nipo poa na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee dear
Hope uko poaaa.
Nimeshtukaa nikasema nani kaiba picha yangu[emoji28]
Biurifooo legs[emoji7]
Poa MwachiMambo [mention]Lenie [/mention]
Poa Mwachi
Jana ndio ukaniacha kwa mataa
Looh hufai😅[emoji23][emoji23][emoji23] nilipata mgonjwa gafla tu ikabidi niende huko so sorry
Hello
You are not a gentleman kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23] hapana nafaa mbona kwa matumizi yako [emoji23][emoji23][emoji23]
You are not a gentleman kabisaa
Mie niko poaa, yaan hapa library leo njaa inaumaa, na niko apeche alolo. Mwee huu mwaka uishee khaaahAsante dear, nishazoea . nipo poa na wewe
Nasubiria hiyo badae, ole wako upotee tenaDah kweli nisamehe husinishushe viwango pleas leo nitakutoa na hivi jana tumeingiziwa hela wenye vyeti fake acha niserebuke
Hi AlexHello
Bebeee mamboNdyoooh.
Nasubiria hiyo badae, ole wako upotee tena