Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha we ni konyo

Hii inaitwa Simba akikosa nyama hula hata majani.

Niko hapa natambaa tambaa na ukuta wa law school naelekea kwa Loveness.
πŸ˜…πŸ˜… machimbo karibia yote dar es salaam nimemaliza , sio ya kishua wala kiswazi na sichaguagi chakula asee 🀣🀣🀣

Leo hali ya hewa nzuri sana
 
πŸ˜…πŸ˜… machimbo karibia yote dar es salaam nimemaliza , sio ya kishua wala kiswazi na sichaguagi chakula asee 🀣🀣🀣

Leo hali ya hewa nzuri sana

Kile kitoto cha mara kilipona kweli? Kilikuwa kina pub pale njiapanda ya shule kabla hujafika kinyerezi, jina limenitoka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…