Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 19,007
Siwezi lala mwenyewe akati we uko busy unapeana joto na National Anthem nionee huruma basiMuda wa kumbonji huu Poker
Lala ukue
Siwezi lala mwenyewe akati we uko busy unapeana joto na National Anthem nionee huruma basiMuda wa kumbonji huu Poker
Lala ukue
Pambana kijanaSiwezi lala mwenyewe akati we uko busy unapeana joto na National Anthem nionee huruma basi
Nikupe namba za Rushayna 🤣🤣🤣🤣 umpigie nanaraSiwezi lala mwenyewe akati we uko busy unapeana joto na National Anthem nionee huruma basi
Hapana Tinsley ananitosha Carrasco putin alijaribu kututenganisha lakini kashindwa ndio kwanza tunazidi kupendana. Hivyo ntafanya juu chini na wewe usiwe na furaha katika maisha haya!Nikupe namba za Rushayna 🤣🤣🤣🤣 umpigie nanara
Lenie msikie huyu mtu kwanza anasema nini 😃😃Hapana Tinsley ananitosha Carrasco putin alijaribu kututenganisha lakini kashindwa ndio kwanza tunazidi kupendana. Hivyo ntafanya juu chini na wewe usiwe na furaha katika maisha haya!
mchanga sijui kwenye niniTins wimbo gani huo habibty wangu
Fanya yote ila usiangukie kwa [mention]Mjep [/mention]




niangukie mara ngapiii? Yeye ndo aliyeninyanyua. Eti😂 Ni msemo wa mtaani tuu kuwa kitumbua kikiingia mchanga hakiliki ila mimi huwa nakiosha alafu nakila vizuri na chai ya tangawizi. Na ulivyo na machozi ya karibu ni kuichakata mpaka Carrasco putin ahame kabisa JF 😂mchanga sijui kwenye nini
Mie mbna sina dimpozzz mie.Fanya kunibless basi Dimpoz zako siku yangu iende poa
Maisha ni kuamua . Kikubwa ni kuridhika na chochote unachopata . SuperGrateful





mbna ghaflaaa sanaaa.
Bantu LadyChangamkaPale pale mkuu Wigelekelo kesho kutwa naamsha
Hujaelewa Ninimchanga sijui kwenye nini
Nimetonywaniangukie mara ngapiii? Yeye ndo aliyeninyanyua. Eti
Naunga mkonoNi msemo wa mtaani tuu kuwa kitumbua kikiingia mchanga hakiliki ila mimi huwa nakiosha alafu nakila vizuri na chai ya tangawizi. Na ulivyo na machozi ya karibu ni kuichakata mpaka Carrasco putin ahame kabisa JF
![]()