Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo jamaa ameshindwa kujiongeza, Mwanamke hanaga nafasi ya kupenda mara mbili hasa akisha Move On. Yaani akitoka kwako ndiyo Baba Jane bye bye.

Hayo mambo ya kurudiana na MaX ndiyo chanzo cha maradhi Wakati mwingine. Umeachana na mtu zaidi ya miezi kadhaa then mambo yamemshinda alipoenda au amekubembeleza eti unamrudia
(Huwezi Jua baada ya Kutoka kwako alikuwa na route za Mbagala - Simu2000 au alikuwa anafika Kawe hadi Bunju πŸ€ͺ)

Mimi mambo ya hivyo yamenipita kushoto. Maybe utabaki kama Rafiki tu (Nakuweka kwenye Friend Zone). Kama kuwasiliana inakuwa very rarely
 
Baba Jane byebye 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 sijui namsaidiaje. Kweli mwanamke kupenda kwa mara ya pili, wachache sana.
Watu wanaambiwa ukipendwa, tulizana iko siku huyo mtu ataondoka uanze tishia kujiua bure πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Na magonjwa haya nani arudi, kila mtu apambane na hali yake tu.
Ukimpenda mtu, anakuona huna pa kwenda. Muache sasa hee unajiuliza nimebadilika nini jamani πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…