Selfika na JF: Snap it. Show it

Pale gerezani jioni Kuna kugombania magari utadhani watu wanapambania ufalme wa mbinguni


Morocco huwa ni wachache sana..ile route huwa naitamani.
Yeah route za Morocco na Muhimbili watu si wengi sana kama huko

Tena route za Gerezani au Kivukoni to Muhimbili ni fupi sana hadi huwa najiuliza wanaendaga kufanya nini sema ndio kwa vile kuna Hospitali tu

Siku moja nenda tu then geuza au wewe ukiwa free hupendagi kuzurura
 

Kwa kero ninayoipata kwenye hayo magari,
Unadhani hata hamu ya kuzurula inakuwepo?
Karibia kila siku nayapanda.
Nikipata muda ni kupumzika tu.
 
Nakuona unaimbisha

Huku unajipigia promo

Babu la mchongo una hatari sana

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wewe una bahati tu Wakati tunazaliwa miaka Ile ya 47 hakukuwa na Vyeti vya kuzaliwa kama miaka yenu, otherwise ningekuonesha🤪

Huyo Mjukuu kwa Umri wangu unataka aniue, hujasikia anasema yeye bila kwenda safari 4 na kuendelea anakuwa hajafika 🙈

Maisha bado matamu eti 🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…