Selfika na JF: Snap it. Show it

Actions speaks louder than words
Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie
shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
Same hiyoo
 
Ewaaa karibu sana Same. Siku nyingine nitakupandisha milimani huko, sio lazima vacay uende Ibiza, hata ndani ya nchi kuna maeneo yanavutia sana. Siku ukija utakula ubwabwa kwa picha ya thamaki.
 
Kuna mtu alikuja kunisabahi 😎

Akadrive, kufika Same upepo sana akashindwa endelea. Ikabidi alalepo

Ni anapasifia hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…