Yaani sina hata hamu wanatucheleweshaga hadi siyo vizuri,, main campus yao tarehe 22 kule kwetu tarehe 29 huwa zinapishana wiki moja kila mwaka..
Ila hata mie nilijua sie ndiyo wa mwisho kumbe siyo kuna mtu juzi kaniambia eti hata MUST yao bado hadi tarehe 14 december,, we kwani kuwa wa mwisho ni raha??