Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutuuuu!! Mnajitoa ufahamu tyu hapa kama mlishapanga mbele huko mnaenda kukutana cocastic unavopenda [emoji533] wewe unaanzaje kuahirisha thubutuuuu![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wake mie kabla ya kukubali mahusiano na mtu huwa naweka terms m conditions, yaan km mkataba..

Ko atafanya km masharti ya mkataba yanavyotaka, aki kiukaa bas na mahusiano yamekufa automatically.

Huyu upuuzi siwezi fanyiwa wallah. Labda mwenyewe nijustukie ndo niamue iwe hvyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom