Kabisaa mdogo wangu!! Unaeza kuwa nahuyo mwenye kazi unayoina ya maana still usiwe na amani ya moyo! Ukawa na hohehahe ukapata amani... mida mingine huyo hohehahe pia akakuchanganya ukaona rangi zote shortly...Hayanaga formula!!!Alafu kazi sio mapenz tunajifariji tu mwanaume akupende bhana hata akiwa mkulima poa kheri ugali dagaa kweny amani kuliko wali kuku kwenye vita 😍
Kama kodi ya meza ipo na mtu anakujali maswali mengi kama wewe ni polisi ya nnYaani huwa siwezagi kumuuliza mtu unafanya kazigani aisee labda aanzishe hizo mada nitajiongeza tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati wa Bwana utafika tu dearNapika maandazi tu hapa home hta mfagia barabara Sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa my dear mapenz Sio kazi kwanza mm nalala na kazi au nalala na mtu 😀😀Kabisaa mdogo wangu!! Unaeza kuwa nahuyo mwenye kazi unayoina ya maana still usiwe na amani ya moyo! Ukawa na hohehahe ukapata amani... mida mingine huyo hohehahe pia akakuchanganya ukaona rangi zote shortly...Hayanaga formula!!!
Anatafuta visingizio!...kaniacha bil sababu na mimi nimekubali kuachwa!😅Mweeh Jack Palladino umefumaniwa na nani?
Si ndo hapo Dunia hii pesa watu tunatafuta sana mapenz ndo yanatuhangaisha muhimu mtu akupende utaenjoy hela kilamtu Anatafuta aisee muhimu aweze kumudu kiasi hata km sio yoteKama kodi ya meza ipo na mtu anakujali maswali mengi kama wewe ni polisi ya nn
Madam ulipataga nn akakuzingua😀😀😀Mi nisichopenda ni ile janja janja sana aiseeehhh uwe na Kazi nzuri usiwe na kazi kama ni Janja janja🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮😏😏😏😏😏😏
Nishakuwa Shangaz sahiz ninawatoto nasubir wajukuu 🤦🤦Wakati wa Bwana utafika tu dear
Hapana Mainjinia sijawahi madam!😎😎Madam ulipataga nn akakuzingua😀😀😀
Walimu Wana maadili bhana nyie peponi moja Kwa mojaWalimu mbona mnatubagua? 😬😬😬
Santo sana!Walimu Wana maadili bhana nyie peponi moja Kwa moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendaaaa hukooooDoctors na Engineers mmezidi [emoji23][emoji23] kada nyingine ni temeke sudani,, nyie ni sodoma [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajedaaa wamezidiiiiWajeda Malaya Kama hao Mainjinia na madokta wenyuuuuuuuu tyuuu!
Wajedaa ni wengi sanaa malayaaa.We malaya tabia ya mtu bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeehYaani huwa siwezagi kumuuliza mtu unafanya kazigani aisee labda aanzishe hizo mada nitajiongeza tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana babuBusara tupu yaani 👏👏👏
Wapooooo shangaziiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ambao sio malaya kweli aunt labda ambao hawajabalehe[emoji23]
Weeeeeeeeehhhhh sema wajeda wao umalaya hata hadharaniiii... hao Mainjinia kimyaaa kimyaaaa kuja kumjuaa sio rahisi!! All in all both ni malayaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajedaaa wamezidiiii