Selfika na JF: Snap it. Show it

Shida za wale watu wa kule wanatakaaga kuleta ubabe kila mahali
 
Love usiseme watu wa huko ni unique, wakigombana hakuna polisi alikuwa akiingilia. Kuna maugomvi ya koo miaka na miaka.
Polisi hawagusi, Mkurya akikwambia nitakugecha, panga lazima lishuke na damu.
Walishindikana, mpaka wakaundiwa kanda maalumu ya kipolisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ