Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,692
Yes ni hivyo "Nyumba Ntobhu" nyumba bila mume...Mwanamke mwenye pesaaa/ uwezo wake anaoa mwanamke mwingine kwa Lengo la kumzalia watoto! kama sihasahau lakini
Kweli bora sasa dah inasikitisha hupewi urithi kisa wewe ni ke jamani wale watu dah .Wanakandamiza sana watoto wa kike, kwao mtoto wa kiume sijui ndiyo urijali!!!
Afadhali sasa, zamani hawakuwa wanathamini kabisa, mtoto wa kike.
Lol!! Hivi ile asili ya watu wakule inayosemekana majority ni wakatili husababishwa nanini???Yes ni hivyo "Nyumba Ntobhu" nyumba bila mume...
Mmama mtu mzima mjane, ama ambaye hakuwahi fanikiwa kupata mtoto.
Anaoa binti analipa na mahari, but hakuna mauhusiano ya kimapenzi. Anamtafutia mume, wakizaa watoto ni wa Mama mtu mzima, anaendeleza ukoo.
Kuna mila zingine, unakaa unajiuliza waliokaa wakaziweka. Vichwani mwao walikuwa wanawaza nini?Kweli bora sasa dah inasikitisha hupewi urithi kisa wewe ni ke jamani wale watu dah .
Among the Outdated customs that should be discarded!!Kweli bora sasa dah inasikitisha hupewi urithi kisa wewe ni ke jamani wale watu dah .
Nafikiri ile kuwa na hasira sana, inapelekea kufanya ukatili. Maana walikuwa wanakata wake zao mikono, labda amerudi na mke alikuwa shamba siku nzima. Kakuta chakula bado, anafyeka mikono ya mke, kwa panga.Lol!! Hivi ile asili ya watu wakule inayosemekana majority ni wakatili husababishwa nanini???
Ebu selfika kwanzaNafikiri ile kuwa na hasira sana, inapelekea kufanya ukatili. Maana walikuwa wanakata wake zao mikono, labda amerudi na mke alikuwa shamba siku nzima. Kakuta chakula bado, anafyeka mikono ya mke, kwa panga.
Dahhh!! Inasikitisha sana!!Nafikiri ile kuwa na hasira sana, inapelekea kufanya ukatili. Maana walikuwa wanakata wake zao mikono, labda amerudi na mke alikuwa shamba siku nzima. Kakuta chakula bado, anafyeka mikono ya mke, kwa panga.
mila za ajabu dah .. Binafsi sihitaji urithi wao nishajiandaa kwa kweli . Wanaume wa kule waonevu haswa .Kuna mila zingine, unakaa unajiuliza waliokaa wakaziweka. Vichwani mwao walikuwa wanawaza nini?
Sasa umnyime urithi, mtoto wa kike na ni mtoto halali wa aliyefariki!!!
Weeee hata hawa wasomi???π€π€π€π€π€ Bantu Ladymila za ajabu dah .. Binafsi sihitaji urithi wao nishajiandaa kwa kweli . Wanaume wa kule waonevu haswa .
At least elimu imetusaidiaAmong the Outdated customs that should be discarded!!
Sikuhizi elimu imesaidia kupunguza hayo mambo!
That's genious kurya Babegirl!!mila za ajabu dah .. Binafsi sihitaji urithi wao nishajiandaa kwa kweli . Wanaume wa kule waonevu haswa .
wasomi wana utofauti kidogo .. sema ipo damuni mama mjibu ovyo akuzibue makofiWeeee hata hawa wasomi???π€π€π€π€π€ Bantu Lady
That's genious kurya Babegirl!!
Kuna mwalimu mmoja ni wahuko mkewe pia ni wahuko ila mke hajasoma kabisa Alooooooohh!!! Ni anamnyanyasa mkewe hadi sio poa na elimu yake yote mmxxcieeeeeeeewww!
Kuna Siku alimkata eneo la lips asubuhi tunaamka tunaona mtu ana jeraha la panga Jamani jamani Jamani πππππππ!!
Aiseeehhh...!! Nasikia huko ni kosa kubwa sana mwanamke kumuuliza mwanaume uko Wapi eti ni kama umemdharauuuu kupita maelezo ππππ! Vitu vingine mbona watu wanakompliketi sana maisha sasa mtu akikuuliza upo Wapi ukamjibu unapungukiwa nini??? Ila sikuhizi Walai inapungua japo asili ni asili tuwasomi wana utofauti kidogo .. sema ipo damuni mama mjibu ovyo akuzibue makofi
jamani huyo mtata duhMwingine madam wahuko tupo nae kwa ofisi hapaa ni mbabe balaaaa atachosema/ kuamua yeye ataka hikohiko wote mkifuatee my foot akikutana na wababe wenzie wasiotaka kupelekeshwa sasa ugomvi/ malumbano/ mabishsno kila Siku ofisini mi nachekigi zangu muvi tuu !π
Hahha ipo huko Tarime sana .. bado hawaajaacha mila .. nilisikia siku ya harusi Bibi harusi unabebeshwa mizigo yote unaenda nayo kwa mumewe . . huku unasindikizwa na ukifika pale uwapikie wakwe bonge la ugali ule mwekundu dah .Aiseeehhh...!! Nasikia huko ni kosa kubwa sana mwanamke kumuuliza mwanaume uko Wapi eti ni kama umemdharauuuu kupita maelezo ππππ! Vitu vingine mbona watu wanakompliketi sana maisha sasa mtu akikuuliza upo Wapi ukamjibu unapungukiwa nini??? Ila sikuhizi Walai inapungua japo asili ni asili tu
Ni mtata sio kidogo!! Uzuri wake anachapa kazi balaaa...jamani huyo mtata duh
mie toka mdogo nilikuwa sitaki watu wajue kabila langu .. nawaambia mie kabila la Baba wa taifa πππ
kabila gani sasa hili π