Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣Keshoooo nayo ni siku besttt Usijareee ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!! saii Acha fuvu lipumzike kwanza 😴😴😴😴😴
Unajua ile pic ilikua upside down ile nageuza simu tu niangalie vizuri ikapotea🤣🤣🤣🤣
 
weuweeh
love is a beatiful thing aisee
mfanye ajihisi the luckiest guy on earth
Mbna anajionaaa speshooooo, wee class zima pekee yake ndo anakua na mtoto mkaree mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hadi wajanja kawapikuuu, maana wakifukuziaa had wali surrender wao wenyewee, ila yeye kdg tyuuh alikua anajaribu, kituuu imoooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huwaa haaminigi yaan.
 
Wow beautiful
aisee kumbe na huko mambo ya injinia hakuna mademu wakali aisee mtoto wa kingoni mweupee
 
Back
Top Bottom