Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Mimi ni expert kwenye idara hiyo, ndio biashara yangu hiyo kuuza maembe,Nani amekwambia ilo embe ni chachu?

Dogo hebu tulia.[emoji16][emoji16][emoji16] utapata tabu sanaaaa
Mkuu, mbona sijaona funguo za ndiga zining'inie hapo....??teh[emoji28]
Mida ya kaziView attachment 1266368
🤜🤜🤜🤜[emoji109][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahaha mzee mi nilijua upo na ganboot kama zile za mzee wenu mshana. Upo field
Bora nikutane na hiyo kitu kuliko kinyonga
Na bahati mbaya picha ziko baada ya habari, yaani
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
We mtoto mbona una kichwa kizuri[emoji134][emoji134][emoji134]Kwani nani sasa mwenye pesa za kusuka?? Mie nywele zangu huwa nabana mtindo mmoja kila siku hadi zinakatika humu pembeni yaani ungeona ninavyohangaika nazo kuzilazimisha zikuwe ungenicheka!!
Mimi bichwa langu kubwa halina chogo halafu lina mapembe,, tena ngoja nikafukue kapicha fulani hivi nilikapiga mwaka juzi wakati nanyoa nikalete hapa uone nilivyo na kichwa kibaya yaani natamani tena ninyoe ila daah..[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1266448
Al kasus mujarab hiyo au just a cup of coffee?
We mtoto mbona una kichwa kizuri[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaha, mie nilishaleta RafikiPicha yako utaleta lin?
Mbona nnachokiona kwenye picha na maandishi nnayoyasoma kwenye comment havifanani ? Nimetafuta hilo bichwa na mapembe sijaviona.Kwani nani sasa mwenye pesa za kusuka?? Mie nywele zangu huwa nabana mtindo mmoja kila siku hadi zinakatika humu pembeni yaani ungeona ninavyohangaika nazo kuzilazimisha zikuwe ungenicheka!!
Mimi bichwa langu kubwa halina chogo halafu lina mapembe,, tena ngoja nikafukue kapicha fulani hivi nilikapiga mwaka juzi wakati nanyoa nikalete hapa uone nilivyo na kichwa kibaya yaani natamani tena ninyoe ila daah..[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1266448
Na wewe haukuiona?
Kwani nani sasa mwenye pesa za kusuka?? Mie nywele zangu huwa nabana mtindo mmoja kila siku hadi zinakatika humu pembeni yaani ungeona ninavyohangaika nazo kuzilazimisha zikuwe ungenicheka!!

Mbona nnachokiona kwenye picha na maandishi nnayoyasoma kwenye comment havifanani ? Nimetafuta hilo bichwa na mapembe sijaviona.
JF stand up View attachment 1265973
Me hata sijahangaika na kichwa nimeshuka shingoni hadi kifuani[emoji39][emoji3][emoji3]