Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,641 cocastic said: Click to expand... Hawa late thirties ni wazeee ππ Kapachino
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,642 Kapachino said: Huwa tunaita kufa kufaana; Uwe unanipigia simu Sasa usiwe unafeli jirani; Click to expand... wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho .
Kapachino said: Huwa tunaita kufa kufaana; Uwe unanipigia simu Sasa usiwe unafeli jirani; Click to expand... wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho .
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,643 Tinsley said: Hawa late thirties ni wazeee ππ Kapachino Click to expand... Wakati sie ndio waume Sasa Hatuna mda wa kuchezea Tena watoto wa watu zaidi ya kutangaza ndoa
Tinsley said: Hawa late thirties ni wazeee ππ Kapachino Click to expand... Wakati sie ndio waume Sasa Hatuna mda wa kuchezea Tena watoto wa watu zaidi ya kutangaza ndoa
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,644 Kapachino said: Wakati sie ndio waume Sasa Hatuna mda wa kuchezea Tena watoto wa watu zaidi ya kutangaza ndoa Click to expand... Yeah mpo vizuri tayari mwajua cha kufanya
Kapachino said: Wakati sie ndio waume Sasa Hatuna mda wa kuchezea Tena watoto wa watu zaidi ya kutangaza ndoa Click to expand... Yeah mpo vizuri tayari mwajua cha kufanya
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,645 Tinsley said: wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho . Click to expand... Hahaha nyuki_ simu 2000 Mbezi asubuhi tunaiba; Na jumapili Kama hizi huwa hazina shida. Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi
Tinsley said: wewe kila route umo .. uliniambia upo mbezi - makumbusho . Click to expand... Hahaha nyuki_ simu 2000 Mbezi asubuhi tunaiba; Na jumapili Kama hizi huwa hazina shida. Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,646 Kapachino said: Hahaha nyuki_ simu 2000 Mbezi asubuhi tunaiba; Na jumapili Kama hizi huwa hazina shida. Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi Click to expand... Aisee mnapata tu hela ila dereva wewe .. unaendesha saa ngapi sasa .
Kapachino said: Hahaha nyuki_ simu 2000 Mbezi asubuhi tunaiba; Na jumapili Kama hizi huwa hazina shida. Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi Click to expand... Aisee mnapata tu hela ila dereva wewe .. unaendesha saa ngapi sasa .
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,647 Kapachino said: Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi Click to expand... Suguye nasikia kafungiwa ila nilikuwa naona jpili watu wanavyojaa pale
Kapachino said: Mi mpaka matembele ya pili kwa nabii suguye uko nawapelekaga siku Kama izi Click to expand... Suguye nasikia kafungiwa ila nilikuwa naona jpili watu wanavyojaa pale
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jan 8, 2023 #304,648
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,649 Tinsley said: Suguye nasikia kafungiwa ila nilikuwa naona jpili watu wanavyojaa pale Click to expand... Unatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10?
Tinsley said: Suguye nasikia kafungiwa ila nilikuwa naona jpili watu wanavyojaa pale Click to expand... Unatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,650 Kapachino said: Unatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10? Click to expand... Yeah nilienda huko mji mzima unaujua eehh hata huko Zingiwa
Kapachino said: Unatembea ulikuwa unaenda wapi fremu 10? Click to expand... Yeah nilienda huko mji mzima unaujua eehh hata huko Zingiwa
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,651 Tinsley said: Yeah nilienda huko mji mzima unaujua eehh hata huko Zingiwa Click to expand... Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini.
Tinsley said: Yeah nilienda huko mji mzima unaujua eehh hata huko Zingiwa Click to expand... Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,652 Kapachino said: Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini. Click to expand... njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie
Kapachino said: Route za uko chanika_kivule nimepiga Sana; gari zikiwa hazina usajili afu mbovu mbovu tunazikimbiziaga njia za porini. Click to expand... njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,653 Tinsley said: njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie Click to expand... Ohoo ok Nilikuwa nikifika zangu mboto usiku ile mida ya saa nne; nnauma mzigo wa abiria kwenda chanika sijawahi upakia mpaka leo. Nyie wa town mnabagua Sana gari! Mnataka mmpande visu aka umeme.
Tinsley said: njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie Click to expand... Ohoo ok Nilikuwa nikifika zangu mboto usiku ile mida ya saa nne; nnauma mzigo wa abiria kwenda chanika sijawahi upakia mpaka leo. Nyie wa town mnabagua Sana gari! Mnataka mmpande visu aka umeme.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 8, 2023 #304,654 Jack Palladino said: Umeenda kanisani lkn? Click to expand... Nimetoka sasaba
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,655 Tinsley said: njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie Click to expand... Njia za porini ni njia za pembemeni mwa mji uko. Haunogi ukiwa unatoka zako mboto gari zikifika banana konda anasema ngoja tusubiri gari za pori
Tinsley said: njia za porini ndo wapi ?? hahha huko ndo kwetu Nimesoma Pugu mie Click to expand... Njia za porini ni njia za pembemeni mwa mji uko. Haunogi ukiwa unatoka zako mboto gari zikifika banana konda anasema ngoja tusubiri gari za pori
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jan 8, 2023 #304,656 Valentina said: Nimetoka sasaba Click to expand... Safi sana!
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 8, 2023 #304,657 Mshana Jr said: View attachment 2473102 Click to expand... Hivi ukaishiaga wapi tena?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 8, 2023 #304,658 Kapachino said: Ohoo ok Nilikuwa nikifika zangu mboto usiku ile mida ya saa nne; nnauma mzigo wa abiria kwenda chanika sijawahi upakia mpaka leo. Nyie wa town mnabagua Sana gari! Mnataka mmpande visu aka umeme. Click to expand... ookay sawa hahha plate number C sipandi .. hayo ma DCM hadi niwe na haraka ndo napanda .
Kapachino said: Ohoo ok Nilikuwa nikifika zangu mboto usiku ile mida ya saa nne; nnauma mzigo wa abiria kwenda chanika sijawahi upakia mpaka leo. Nyie wa town mnabagua Sana gari! Mnataka mmpande visu aka umeme. Click to expand... ookay sawa hahha plate number C sipandi .. hayo ma DCM hadi niwe na haraka ndo napanda .
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 8, 2023 #304,659 Bantu Lady said: View attachment 2473120 Click to expand... Toto la kikurya
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jan 8, 2023 #304,660 Umeona Sasa; Watoto wa kishua mnavyoleta pozi! Haha na DCM zimejaa nyuki enda mjini Tinsley said: ookay sawa hahha plate number C sipandi .. hayo ma DCM hadi niwe na haraka ndo napanda . Click to expand...
Umeona Sasa; Watoto wa kishua mnavyoleta pozi! Haha na DCM zimejaa nyuki enda mjini Tinsley said: ookay sawa hahha plate number C sipandi .. hayo ma DCM hadi niwe na haraka ndo napanda . Click to expand...