Mimi nanunua tu mils chache za kupima.
.
Sikuona maajabu yake ila mwenyewe kila siku anaisifia.
Nimemchukulia Tena.
Na opium, Bila kusahau Sauvage ili equation ibalance.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23]
Yaaani
Mahaba niue.
Naendelea kuomba Nkamu, nikiwa mkubwa niwe kama wewe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Namshukuru Mungu za kupima zippNi nzuri sana Scandal ingawa ni kali mimi naipenda hivyo hivyo[emoji3]
umenipa idea ngoja nitafute ya Mills chache lol maana na Njaanuary hii nitachina
Amen Nkamu.Zidi kumpenda Nkamu maisha ndiyo haya haya na mtazidi barikiwa.
Mungu ni mwema utakua zaidi yangu Nkamu
Umejibu vizuri na asante sana.Happy New Year Nkamu
Cologne tatu za kiume ambazo nazipenda Mr akijipulizia ni hizi tena hii nyeusi mpaka nimemuibia.
ya tatu ambayo naipenda sijaweka hapo picha inaitwa Jean Paul Gaultier
Thou wakaka wa kibongo wengi wamekariri Sauvage [emoji3]
nimeshindwa kupiga picha na kuzungushia duara sababu nipo Dom na Mr yupo Dar hope nimejibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema supp na carry sio shida zangu, sikuja chuo kushangaa maghorofaa, nlikuja kusoma eti.Kwanza soma kule,, kuna ka upepo ka supp na carry huwa kanapita last year [emoji16][emoji16]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]All the best kipenzi
Umejibu vizuri na asante sana.
Hiyo nyeusi inaitwaje? Nimejaribu kusoma jina lake lakini sijaweza. Nitakwenda kuisaka Mlimani City...
Halafu nilijua tu yangu haitakuwa kwenye list yako....Huwa nasifiwa mara moja moja ...eti we mzee umezeeka lakini unanukia vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante nkamu [emoji1545]
View attachment 2472332
Mmetokelezeaaaa mnoooooo.
Amen Nkamu.
Nampenda sana.
Hata hela ninayonunulia asilimia kubwa inatoka kwake mwenyewe
Ila nikimpa hizo perfume unakuta yuko happy sana[emoji23]
Bei gani dear?? Na mie ninukie.Ugonjwa
Vile ambavyo huwa nawapenda kumsikia mtu ananukia na mimi napenda kunukia[emoji16]
Addiction
Kaka mpishiii.
Hiyo nyeusi taja bei na wapi naweza pata, nimnunulie mtoto wa mama mkwe, nae ajimwaye mwaye. Hata vichenchede huko nje wampaparikie.Happy New Year Nkamu
Cologne tatu za kiume ambazo nazipenda Mr akijipulizia ni hizi tena hii nyeusi mpaka nimemuibia.
ya tatu ambayo naipenda sijaweka hapo picha inaitwa Jean Paul Gaultier
Thou wakaka wa kibongo wengi wamekariri Sauvage [emoji3]
nimeshindwa kupiga picha na kuzungushia duara sababu nipo Dom na Mr yupo Dar hope nimejibu
Ohoooo kuna mtu aliniacha aka carry course,, nlifurahi kinyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema supp na carry sio shida zangu, sikuja chuo kushangaa maghorofaa, nlikuja kusoma eti.
Na hii bei gan? Mnanivurugaa mtoto wa mama mkwe ntamjazia perfume kibaoooo.Umejibu vizuri na asante sana.
Hiyo nyeusi inaitwaje? Nimejaribu kusoma jina lake lakini sijaweza. Nitakwenda kuisaka Mlimani City...
Halafu nilijua tu yangu haitakuwa kwenye list yako....Huwa nasifiwa mara moja moja ...eti we mzee umezeeka lakini unanukia vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante nkamu [emoji1545]
View attachment 2472332
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendaaa hukoo, mie nakuachaa na si carry wala supp.Ohoooo kuna mtu aliniacha aka carry course,, nlifurahi kinyama [emoji23][emoji23]
Jikute tu,, hutaitwa jina kwenye graduation wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendaaa hukoo, mie nakuachaa na si carry wala supp.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh sanaaaaa. Tena nakukaribishaa uje unishikie kofia ya JohomJikute tu,, hutaitwa jina kwenye graduation wewe[emoji23][emoji23]
Tujue bei kwanza mamaUgonjwa
Vile ambavyo huwa nawapenda kumsikia mtu ananukia na mimi napenda kunukia[emoji16]
Addiction
Huyu hapa 😓