Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Tatizo wanahisi mimi kama wao!...Wanazusha kuhusu kubadili wanawakeπ€£Mkaka kabisa, unanimudu ipasavyo...
Sijui kwanini wanakuona mdogo babe..
Au ile badilisha badilisha wanawake πππππ
Haswaaaaaah dear. Ila nna kanuni 1, mguu m1 nje.mapenzi yanaanza hivyo mwisho wa siku umezama kwenye huba zito .
Hahha usimwache please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wake mie mzungu.
Terms n conditions, genius anajua. Akizingua ameishaaa.
Nimenyooka km rulaaaaaa.
Afanye kujaribu na kuleta mrejesho kwanza, otherwise bado hatujampitisha, Jack Palladino upo vizuri mkuu?Size yake kabisa, anafit waambie π€£π€£π€£π€£π€£
Dyadyaaaaa nimepata bwanaa npyaaa.Kho khokhoo
Chat na picha wajomba na mashangaziiii
HongeraHaswaaaaaah dear. Ila nna kanuni 1, mguu m1 nje.
Huwa siingiagi mazimaa eti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo vizuri kila angle mkuu!Afanye kujaribu na kuleta mrejesho kwanza, otherwise bado hatujampitisha, Jack Palladino upo vizuri mkuu?
Upunguze zile spirits chief, hizi machine zinataka utulivu sio kidogoπ€£π€£Nipo vizuri kila angle mkuu!
ππππKaka ake nimechekaWatu kama nyie ndio tunawapa vijana tahadhari mapema, wawe na pulling ya kutoshaπ€£π€£π€£hujambo mdogo ake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo huo Jah hajanipaaa,Hahha usimwache please
hivi wewe haumiii ukiacha mtu ..
Hii chapa ya ng'ombe mkuu!Upunguze zile spirits chief, hizi machine zinataka utulivu sio kidogoπ€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwenyewe sijiamini, ndo nimuamini mwenzang? Hapanaaaaa.Hongera
mimk siwezi hivyo ... labda nisikuelewe .
πππππDyadyaaaaa nimepata bwanaa npyaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niombeee mdogo wako, nimezamaaa haswaa,
Marahaba mdogo ake, au nimeongopa? Selfika kidogo tu hapa uone kama hawakimbii wote, hawana pulling hata kidogoπ€£π€£ππππKaka ake nimecheka
Sijambo shikamoo kaka
i wish niwe nunda hivyo ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo huo Jah hajanipaaa,
Mie naangalia furaha yangu tyuuh, mengine hayanihusu.
Mzungu mie eti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha hujiamini lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mwenyewe sijiamini, ndo nimuamini mwenzang? Hapanaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu nimeona tashtiti zako huko juu..Yani nimechekaaa
Ikawe kheri mdogo wangu..cheza kwa step tu
[emoji3589]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaaaaah!!!i wish niwe nunda hivyo ..
ila ukibebaa mimba utaanza fikiria tofauti .
ππππKaka ake ..Sina jipyaMarahaba mdogo ake, au nimeongopa? Selfika kidogo tu hapa uone kama hawakimbii wote, hawana pulling hata kidogoπ€£π€£