Halafu unajiona kakubwa bila hata haya!!!Hahaha ukoo wetu watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume hivyo nina madada nina wadogo wa kike na nina mabinamu wa kike wa kutosha tu
Halafu kati ya wote hao hakuna aliyefikisha hata miaka 30 wala hakuna aliyeolewa japo wapo ambao tayari wana watoto na wapo ambao wameshachumbiwa tunasubiri kula pilau tu (nazungumzia wale ndugu wa karibu kabisa hasa upande wa mama)
Nimekumiss pia mkwe, mke ameibwa?[emoji3061][emoji4][emoji4]
nimekumisi mkwe
Hata picha za kudownload tunaruhusiwa?Mmeweka picha au maneno tu?
Kwanini ? Mbona anaswaga za kike kabisa
Yaani wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hata picha za kudownload tunaruhusiwa?View attachment 1266059
Mmeweka picha au maneno tu?
Wapi sasa!! Hizo page zote si nitapofuka[emoji134][emoji134][emoji134]Katizame kwanza
Watu kama nyinyi ndo huwa mnapanikisha watu kwenye NECTA. Maswali matatu unatumia Booklets 3 kumbe ni vile limwandiko lako likubwa unaishia wachanganya wenzako ambao ndo kwanza hata nusu ya Booklet hawajafika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,, nimekumbuka kuna kaka nilisoma naye darasa moja alikuwa na mwandiko mbaya jamani yaani waalimu waliongea hadi wakanyanyua mikono na siyo kwamba eti tulikuwa wadogo hapo tulikuwa form five..
Mie mwandiko wangu ni mzuri lakini mkubwa sana yaani hadi kuna mwalimu aliwahi kuniuliza eti "hivi hadi kwenye necta utaenda kuandika mwandiko huo huo hebu punguza bwana" ila ndiyo sijawahi kuupunguza hadi leo nilishashindwa mimi
Halafu unajiona kakubwa bila hata haya!!!
Karma how do we accomplish that issue...!!!
Hata picha za kudownload tunaruhusiwa?View attachment 1266059
Wapi sasa!! Hizo page zote si nitapofuka[emoji134][emoji134][emoji134]
Dah hii mechi nilipaswa kuwepo
Yaani wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]