Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mdada yupo Znz anauza dawa za miti shamba za kupunguza tumbo au mwili mzima.(kupungua mwili mzima sio kweli yaan Kwa maana hiyo hadi tako litapungua )wee kiranga kwio…kupungua nataka lakini tako nalipenda zaidiπŸ˜…
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kweli dear Mi nataka kupunguza trumboo tyu mwili mzima hapana!
 
Kuna mdada yupo Znz anauza dawa za miti shamba za kupunguza tumbo au mwili mzima.(kupungua mwili mzima sio kweli yaan Kwa maana hiyo hadi tako litapungua )wee kiranga kwio…kupungua nataka lakini tako nalipenda zaidi[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] trakoooo na mie trakooo nalipenda mnoo.
Ningejaliwa trakoooo km A, uwiiiiii mjini wangekomaaa.
Sema yule kashindwa kupunguza tumbo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weuweeeh
the man himself , genius wa Coca
Hahaha hupendi official wewe unamtaka mwenzio awe hivyo hivyo
 
robbinhood

Hellow Dear Broohhzzz [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimekumic had naumwaaa,
Fanyaa ukujee hapa puliiiizzzzzz nipatee kuponaaaa.

Unajua nakupendaaa sanaaaaa [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Jion nilichungulia hola,,, cjaingia Tena kule ,,,, ! Hopefully umeenjoy ile nyingine
Ile nimeinjoy sana rafiki Hivi inaendelea pia??? Huko mbele asije kuleta siasa za kununua tsup tu huwa wanaanza vizuri badae wanazingua!
 
Weuweeeh
the man himself , genius wa Coca
Hahaha hupendi official wewe unamtaka mwenzio awe hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipendii avae official code mie.
Ataniboaaa mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…