Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Jiandae best itakaa kwa 2mins tu!..nimeanza kuwa na wivu sasa😅Tena aweke ule mshepu wenyewe watu wakufweeeee🤣🤣🤣😁😁!! Bantu Lady namie magonjwa Naomba unibless nipate nafuu nataka nirare kipenzi!!
Yamenikuta leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa best Nipo kodo hapaaa sipepesi hata kopee!!!Jiandae best itakaa kwa 2mins tu!..nimeanza kuwa na wivu sasa😅
Hayaa ntakuwekeaa baadae kidg, usilalee.Sijaona aisee
nilikuwa busy na upishi kidogo.
Tupo PM tunadiscuss na Bantu Lady ipi atupie!😅Sawa best Nipo kodo hapaaa sipepesi hata kopee!!!
Kesho unitumie nifurahi naroho Yangu mieee nahis nitacheka nipasukee😁Mwenzako huwa naji record afu narushia kwa PC, maana cm enyewee hii naweza poteza,
Em keshoo nikurushie records zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufurahiiii weee na usuuzike na roho yako,
Akili zangu zinazijua zwnyewwe, mie kukata viuno huku lecturer anafundsha sio shda zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mood ikija hapo hapo. Neiba wangu huwa wanafurahi mnoooo.
My babe 😄😄😄😄😄Tupo PM tunadiscuss na Bantu Lady ipi atupie!😅
haya unitag kwanzaHayaa ntakuwekeaa baadae kidg, usilalee.
Weka ile ya pili ndio safi babe!My babe 😄😄😄😄😄
Magonjwa nataka mshepu please mnataka nifweeee eh???!! Nifanyieni wepesi nirare dawa zinaanza niletea usingizi!Tupo PM tunadiscuss na Bantu Lady ipi atupie!😅
Hiyo ndio niliyochagua tulia inakuja soon!😅Magonjwa nataka mshepu please mnataka nifweeee eh???!! Nifanyieni wepesi nirare dawa zinaanza niletea usingizi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "upo nyonyo" ya phina nli record, sasa nilmpa mtu tsup, sku ya 2 naikuta tiktok ktk acc yake. Nlimuambia afute staki ujinga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho unitumie nifurahi naroho Yangu mieee nahis nitacheka nipasukee[emoji16]
Nakuweke sahvi.haya unitag kwanza
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃! Na Mrs Hamnaga mbambambaa kabisaaa!!Hiyo ndio niliyochagua tulia inakuja soon!😅
Nipoooo kipenziiii ushatupia kwa status kuleee?? Ngoja nikachekii fastaaa 🏃🏼♀️🏃🏼♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "upo nyonyo" ya phina nli record, sasa nilmpa mtu tsup, sku ya 2 naikuta tiktok ktk acc yake. Nlimuambia afute staki ujinga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjumbe upone banakiduku mpapaso natambua uwepo wako Mjumbe fanya kumbless magonjwa arare vizuri jamanee!!
Sophy hajambo kabisa mkuu, naona hamumtendei haki Glenn, huyu Bantu Lady naona anaamua kumchinjia baharini waziwazi na nyie wapambe mpoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipoooo kipenziiii ushatupia kwa status kuleee?? Ngoja nikachekii fastaaa [emoji2092][emoji2092]