Umekua modoooooπππππ! Hauna kitambi kabisa saiviiiπ₯!ninawasalimu
View attachment 2470190
Kwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!πBest na BL Mlichomfanya Vale Mungu anawaonaaa πππππ€£!
Uzuri Penzi lenu na Vale huwa halichachi!! Hapo tu ndio ananikosha unazunguka weeeeehh unaswampa weeeeehh ukirudi anakupokea hanaga makuu kabisa!!
What a strong woman!!
βοΈβοΈβοΈ
Komaa nae utulie uache mapepe yako sasaa! Mtoto katulia hana mbambambaa kabisa wewe tu ujichanganye na ma ex zako mia kidogo πππ!!Huyu mtoto Bantu Lady kaniweza kwakweliπ ...moyo wangu umemdondokeaπ
Pic zake zinaonesha mtoto mtulivu sana!..Siwezi kuchezea hii bahati kwakweli!Komaa nae utulie uache mapepe yako sasaa! Mtoto katulia hana mbambambaa kabisa wewe tu ujichanganye na ma ex zako mia kidogo πππ!!
Bantu lady amekupenda kweri kweri si unaona regardless ya maneno yote humu still amekomaa amekushikilia nawe umshike ipasavyooo sasaaa!!Kwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!π
Unataka nikufae wewe kama nani mkuu? Hebu jibuπ
Pendaneni mwayaTumependanaa wenyewee
.
Hapa waambie najua kupenda, sijui kuacha ππππ nafasi imejaa hakuna pa kumuweka. Nakaba mpaka penalt ππππKwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!π
Fanya hivo umeopoa kitru matraaatraaaaa sanaaaa hapo si unaona wanavokuonea wivu na kumtolea macho wee zubaaa uone!!ππππPic zake zinaonesha mtoto mtulivu sana!..Siwezi kuchezea hii bahati kwakweli!
Kweli kwa yale maneno angekuwa hana upendo wa kweli angeshasepaπBantu lady amekupenda kweri kweri si unaona regardless ya maneno yote humu still amekomaa amekushikilia nawe umshike ipasavyooo sasaaa!!
Ukilega lega wanamnyanyua juu juu ubaki unalia naroho yako usiseme sijakwambiaaaa πππππ€£!!
Uzuri wanasoma kimyakimyaπHapa waambie najua kupenda, sijui kuacha ππππ nafasi imejaa hakuna pa kumuweka. Nakaba mpaka penalt ππππ
Mwanangu hujambo?Acha akufaudu tyuuuu umemfanyeje jirani kwani??? Kashikashi zako sio ndogoo shoss angu anaachaje kucheka kwa sauti!!ππ
Bhana hapa jobless ni mie tyuuh, na isitoshee wapangaji wenzangu huwa wanachelewa kurudi, na hatuonan inaweza pita hata week 3, yaan hata weekends sio rahis sanaa, ni mara chache mnoo. Kila mtu yuko buzzy na life lake, mambo madogo madogo tunamalizana kwa simu.Acha akufaudu tyuuuu umemfanyeje jirani kwani??? Kashikashi zako sio ndogoo shoss angu anaachaje kucheka kwa sauti!!
Nawaona wanavyochungulia kwa mbali!πFanya hivo umeopoa kitru matraaatraaaaa sanaaaa hapo si unaona wanavokuonea wivu na kumtolea macho wee zubaaa uone!!ππππ
Aaaasssssaaaaaannteeeeehhhh!!Hapa waambie najua kupenda, sijui kuacha ππππ nafasi imejaa hakuna pa kumuweka. Nakaba mpaka penalt ππππ
Marhabaninawasalimu
View attachment 2470190
Binti yangu hujapata mchumba bado kwani?Pendaneni mwaya
love is a beautiful thing