kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Rangi yenyewe lazima watu washangae wanajua mtasha katoka zake mambele hukumawardat
Tinsley
Mtoko wa tar 31, chini nlivaa sliperz, nli mbeba na huyo mdoll wangu anaitwa "Vovo", nlikua na genius na rafik etu mwingne.
Kuna mall tulienda, aseeeh kufika pale watu wotee jicho kwangu, nlivungaa baadae nkajistukiaa nkatoka nje kuwasubiri.
View attachment 2469210
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante
Ubarikiwe hunaaga baya na mtu
Ooh watu wa mtaani wako hivyo mostly . too judgemental etcKweli apart from working mates i don't interact with any other people..
So nikitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani..
Mtaa Ninao ishi sina rafiki na majiran zangu ni salamu tu..
Pia sabb inayofanya nisichangamane i observed most of the time watu wakiwa pamoja wanazungumzia watu kitu ambacho sipendelei..
Sitak kujua habari za watu na sitak wajue habr zangu..
Rangi yenyewe lazima watu washangae wanajua mtasha katoka zake mambele huku
ulinoga shostimawardat
Tinsley
Mtoko wa tar 31, chini nlivaa sliperz, nli mbeba na huyo mdoll wangu anaitwa "Vovo", nlikua na genius na rafik etu mwingne.
Kuna mall tulienda, aseeeh kufika pale watu wotee jicho kwangu, nlivungaa baadae nkajistukiaa nkatoka nje kuwasubiri.
View attachment 2469210
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie cnaa bayaa na mtu eti, maisha mafupi hayaa.Ubarikiwe hunaaga baya na mtu
Umeona
Usingetoka nje,mtu akikutizama nawe mkazie macho,mawardat
Tinsley
Mtoko wa tar 31, chini nlivaa sliperz, nli mbeba na huyo mdoll wangu anaitwa "Vovo", nlikua na genius na rafik etu mwingne.
Kuna mall tulienda, aseeeh kufika pale watu wotee jicho kwangu, nlivungaa baadae nkajistukiaa nkatoka nje kuwasubiri.
View attachment 2469210
Sent using Jamii Forums mobile app
ulinoga shosti
huyo mdoll mzuri na mkubwa .
mtoto mweupe
Mungu awabariki na genius mfike mbali .
Unalala hvyooo? Kuna baridii sanaaa.??Ahsante
Ndiyo kulala hivyo
Tena wa kule kwa wa matengo wa bomba mbili
Usingetoka nje,mtu akikutizama nawe mkazie macho,
Ucjar niko nae hapa, nimefunika shuka. Amelala.Msalimie Vovo..
Mwambie nimempenda..
Haya kumbe rangi itakuwa umerithi kwa bibi kutoka bondeni kwa mandela
Basis itakua hvyooo.Haya kumbe rangi itakuwa umerithi kwa bibi kutoka bondeni kwa mandela
Ooh I seeI have my niece, we normally talk on phone a lot nikiwa idle.. she is my big companion..
I can't hug her though when we meet.. π
All introverts are the sameNisiwe muongo Mkuu,
Ukitaka kuprove Doon is a failure benchmark my performance ktk uwezo wa kutengeneza marafiki...
Most of the people ambao niko nao tulikutana kwa sbb ilibidi tukutane no matter what...
I am seriously not good at finding friends..
weuweeeeh hebu ongeza dose π πImebidi nicheke tu..
Hizo technical term nimewah zisikia sana especially dopamine na oxytocin kwa wataalamu wanaojadili masuala ya mind kisayansi zaidi, however elimu yangu ipo kiart zaidi kutokana na background yangu ya taaluma..
Kuna kadada kapo ambako huwa nakakumbatia, sema I planned not to share this..
Ila nashukuru kwa elimu uliyonipa inanihamasisha nikazane kuongeza dozi..