Selfika na JF: Snap it. Show it

weeeehh kwaile selfii yaile siku thubutuuuu!
Bado yanki sana tena kijana mmoja matraaatraaaaa sanaaaa wa kwenda roundi heavy😁!
Huo Uyanki utoke wapi na Umri huu, saivi tumebaki na nafasi moja tu WAZEE WASHAURI.

Mkigombana huko na Waume zenu Sisi Wazee tunashauri tu πŸ€ͺ

Ngoja nikimbizane na Kupanda mahindi yangu hapa shambani, msiache kuja kutusaidia Palizi tu πŸ€—
 
Mimi Mkurya mchanganyiko wa Congo, Zambia but bado mkali balaa... Sema sikuwa namtaka 🀣🀣🀣🀣 Selfika pangewaka mbona natania bana. Nampenda Cocaa bana, love uchochezi huu leo kwemaaaaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Selfikaaaaa mahusiano Mapenzi na kuwekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!

Jf sihamiiiiii 😁🀣
 
Eheee Mjep hongera sana mkuu!..umewezaje kukituliza hiki kiumbe?
@Mjep mume wangu, mahabubha, laazizhi, mkalia ini, tamuu yangu, wangu pekee yangu, uwezaye kunituliza akili na mwili.

Njoo baba utoe muongozo, unaitwa huku. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Uyanki utoke wapi na Umri huu, saivi tumebaki na nafasi moja tu WAZEE WASHAURI.

Mkigombana huko na Waume zenu Sisi Wazee tunashauri tu πŸ€ͺ

Ngoja nikimbizane na Kupanda mahindi yangu hapa shambani, msiache kuja kutusaidia Palizi tu πŸ€—

Tunakupa cheo cha Babu mshauri selfika πŸ˜‚πŸ˜‚!

Kam kauwaaaa kuanzia palizi hadi mavuno lazima wajukuu tuje kumsaidia bibi nyie mpumzike!!
 
Masikini Mjep amekwishaaaa🀣
 
Weraaaaaaaaaa Weraaaaaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Weraaaaaaaaaahhhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ! Navoitikia utadhani namie nina Injinia 😁😁😁🀣🀣🀣!
Namue mnitafutie Eng msintanieeee 🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatujua wangoni anatusikiaa? Amuulize mwanaume mwenyewee, huwa anatamka lugha 27 anazopaswa kutamka akiwa kitandani.

Weraaaaaaaaaaah mtuaaacheeeee mapenziii yametufikia wenyeweeeee.

Mjep nakupendaaaa mume wanguuu. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…