Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi Mkurya mchanganyiko wa Congo, Zambia but bado mkali balaa... Sema sikuwa namtaka 🀣🀣🀣🀣 Selfika pangewaka mbona natania bana. Nampenda Cocaa bana, love uchochezi huu leo kwemaaaaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Waniachieeeee engineer wanguu, sitakiii utaniiiii.

Nayee si ana injiniaa wakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Namie nataka Injinia msintanieeee 🀣🀣🀣
Bantu Lady na coca sikubareeeeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wew ndo naona umevuta bangi mbichi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca atakuwa kavutia chooni imechanganyika na harufu ya kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi natafuna, ingine naoga naloweka km dawa ya kutoa nuksi na gundu mwilini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…