Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Aisee wamepania sana kutugombanisha, we nisikilize mimi hao wengine wapuuze!πUna kesi, namsubiria Wige. Antonnia yupo... Good morning sijui ni jioni huko .... makoloni yako yanakusalimia ππππ
Lol hongera sana kipenzi!! Vipi yeye sio wa kujiachia achia kucheka cheka na wanawake Humu????Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo π€£π€£π€£π€£ akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa πππππππ
Mimi huyoooπAsante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo π€£π€£π€£π€£ akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa πππππππ
Kwa kweli ni mateso kusomesha kwa Hela za Pension, yaani hadi nashindwa kununua Kiko ya kuvuta kisa kusomesha π€ͺMsimu wa Kulipa Ada kwakwenda mbereeeeeβοΈβοΈ!!
Wigelekelo njoo muone mvuvi wako wa kimataifa na mbunu zake za kimafiaaahhhπ
Babuu nuksii sana wewee huongeagi sana walaaaaahhhhπ!
Hello granpa!β
Umepata Mtu muelewa sana kipenzi usikubali kumpoteza kizembe shikilia hapohapooo!!Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo π€£π€£π€£π€£ akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa πππππππ
Wige alinionya mapema. Mara jana makoloni si yakaja kweli. Tena kwakuwa ulimwaga ugali Valentina akamwaga mboga...Aisee wamepania sana kutugombanisha, we nisikilize mimi hao wengine wapuuze!π
Ukiacha hao wote kuna mmoja huyo anaitwa mtakatifu Anne akija hapa itakua shida naona ananichora kwa mbali tu!πWige alinionya mapema. Mara jana makoloni si yakaja kweli. Tena kwakuwa ulimwaga ugali Valentina akamwaga mboga...
Wige akaniambia mara 10 ya mzabzab kuliko wewe ππππ
Sasa kama hadi umempiku mzabzab ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
weeeehh kwaile selfii yaile siku thubutuuuu!Kwa kweli ni mateso kusomesha kwa Hela za Pension, yaani hadi nashindwa kununua Kiko ya kuvuta kisa kusomesha π€ͺ
Wewe na Wigelekelo hamuamini kuwa Babu yenu Umri umeenda. Nikisema niwe mvuvi hamchelewi kusikia Kibabu Cha miaka 70 kimefia Lodge π
Hapana hata kabla yamimi, zamani alikuwa akiandika mada MMU siku hizi kaacha majukumu yamemzidi.Lol hongera sana kipenzi!! Vipi yeye sio wa kujiachia achia kucheka cheka na wanawake Humu????
Hapo tu ndio sitaweza vumilia hata awe ananipa nini siweziiiiii!π
Safiiiii hio kipenzi hongera sana!!! Vipi ukimuona anacheka na nyani humu ππ???Hapana hata kabla yamimi, zamani alikuwa akiandika mada MMU siku hizi kaacha majukumu yamemzidi.
Kwasasa hawezi, anajua kichaa cha Kikurya anaenda kwa step ππππππ ana msemo wake ameokota dodo chini ya mnazi!!!
Hivi humu watu wapo serious eeh?πSafiiiii hio kipenzi hongera sana!!! Vipi ukimuona anacheka na nyani humu ππ???
Unajua haya mazoea mazoea tuliyonayo humu ni hatari sana kwa afya ya mahusiano endapo mtu mna mahusiano ile siriaz eeh???
Toka tumekuwa pamoja kaacha na kucomment kabisa πππππSafiiiii hio kipenzi hongera sana!!! Vipi ukimuona anacheka na nyani humu ππ???
Unajua haya mazoea mazoea tuliyonayo humu ni hatari sana kwa afya ya mahusiano endapo mtu mna mahusiano ile siriaz eeh???
Ndio lect... ila naongelea past Yangu humu!Hivi humu watu wapo serious eeh?π
Walikutenda best?ur such a nice person!Ndio lect... ila naongelea past Yangu humu!
Safiiiii hio!! Anaelewa na hataki kukupoteza kipenzi nampa big up βοΈβοΈβοΈπToka tumekuwa pamoja kaacha na kucomment kabisa πππππ
Thanks God im happy again!!Walikutenda best?ur such a nice person!
Great!..enjoy life is too short!Thanks God im happy again!!
So very happy!!
Amen amen Lect!Great!..enjoy life is too short!
Karibu best!Amen amen Lect!
Wabheja sana βοΈβοΈ
Nakugawa ππππππ aisee kumbe unajijua kabisa...Ukiacha hao wote kuna mmoja huyo anaitwa mtakatifu Anne akija hapa itakua shida naona ananichora kwa mbali tu!π