Selfika na JF: Snap it. Show it

eti hukumuweka wazi km umeolewa na umezaa mara 2, hadi mshono wa oparie ukamuonesha mwshoni.

Ila nyie had uzi mkaweka hapa, ila vizuri mko real, nlipendaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliweka Nyuzi moja sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Mbavu zangu hukuuu ! Hebu nicheke miyeeeeeeeeeeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!

Jf sihamiiiiii πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nijilipue wapii?? Saii kila mtu apambane nahali yake tyu no way kule sirudi hata kwa mtutu😁😁😎!
Nipe siri ya kudumu na Mtu humu mi nilishashindwaga kipenzi!!
Nimeandika na kufuta mara 3, πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mimi kwangu hata sikuwazaga kuja kuwa na mtu humu. Kwa mika 9 niliyokuwa humu. Tunaonaga ni Mungu tu alipanga.
Maana mazingira yaliyotufanya tujuane πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» kati yetu hakuna aliyewaza kama leo tutakuwa hapa. Humu JF naishi naye kama hatujuani kabisa basi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 No CC Antonnia
 
Weeeehh hongera sana kipenzi hamfuatiliani???
 
Mambo mrembo
 
Weeeehh hongera sana kipenzi hamfuatiliani???
Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo 🀣🀣🀣🀣 akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…