Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Wigee oga basiii!!
Wigee oga basiii!!
@ValentinaWewe ni wangu sasa hivi punguza kuchat na hawa vijana!![]()

Au ID yako nyingine Wige 😂😂🙄🙄😂
Lori hili linavyonirusha rusha
Wigelekelo ndiyo wakati wako huu, mwaga mambo hadharani bestWewe ni wangu sasa hivi punguza kuchat na hawa vijana!😉
Bado sijafikaWigee oga basiii!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hebuu tuone linavyokurusharusha kwanza😂!Lori hili linavyonirusha rusha
Naanzaje kudinda
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mambo gani tena?Wigelekelo ndiyo wakati wako huu, mwaga mambo hadharani best
Anakwama sana msukuma huyo!!Wigelekelo ndiyo wakati wako huu, mwaga mambo hadharani best
Hana madharaWigelekelo ndiyo wakati wako huu, mwaga mambo hadharani best
Alinipa tahadhari kabla ya hatari... ndiyo namuomba amalizie hapa 🤣🤣🤣🤣Mambo gani tena?
OhoooAlinipa tahadhari kabla ya hatari... ndiyo namuomba amalizie hapa 🤣🤣🤣🤣
Hizi hongera mara mbili mbili za kheri? Selfika basi kidogo hata kichwa tu...Nimeona mkuu hongera sana
Bantu Lady hongera
Umeambiwa umwage mambo changamkaa Wigeeee 😁😁😁😁!!
Kichwa kama kichwa 😂😂😂😂😂😁🤔🤔 Glenn muwekee Bantu Lady hiko kichwa basiiii😁🤣🤣🤣🤣Hizi hongera mara mbili mbili za kheri? Selfika basi kidogo hata kichwa tu...
Babe wasikutishe hao!Hizi hongera mara mbili mbili za kheri? Selfika basi kidogo hata kichwa tu...
Mjep ukuje hapa